Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini...
Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu.
Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
Inakuwaje wanajamvi.
Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na porojo.
Kilimo tu mnakwepa halafu mnaendekeza anasa na kupenda kula kula na kufakamia msosi wakati mkoa...
https://feminahip.or.tz/
FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
1962 mondlane aliasisi chama Kikongwe kwa ajili ya kuikomboa msumbiji kutoka kwenye makucha ya wareno !kutoka na Hali ya msumbiji nyakati hizo iliwalazimu frelimo kuweka makao yake makuu jijini dar es salaam! Mapambano makali wakisaidiwa na serikali ya Tanzania chini ya jemedari hayati mwalimu...
Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena.
Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma.
Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Huyu jamaa anajiita Mdude .
Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa.
Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer.
Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita...
Kwa muda sasa kumekuwa na kundi kubwa la vijana wanaolala barabarani kama makazi yao ya kuishi maeneo ya Barabara ya Sam Nujoma kuingia Sinza Makaburini. Idadi ya vijana hawa imekuwa kubwa na wanakuwa wamelala mpaka hata saa mbili asubuhi bila kuamka kuonyesha kwamba usiku mzima wamekuwa...
Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani?
Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM.
Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha familia ya mbowe hadi juzi alipo chokonolewa na kusema ukweli.
Chadema is a very good business kwa...
Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania wanasiasa au vyama vyao.
Wanasiasa wote unaowajua wapo pale kwaajili ya maslahi yao na familia zao kwanza...
Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa
Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo
Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA
Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
Wakuu,
Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha.
Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida lakini nyomi ni kubwa.
Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi.
Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma.
Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman...
Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme wa magari anajikuta amechaguliwa course ya plumbing na wakijaribu kuomba ufafanuzi wanajikuta...
Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia;
Lifestyle ya ''hustle culture ''
- Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.