Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa...
Wakuu,
Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini?
Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini...
Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli.
Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu ya kupigania haki sambamba na kuwa upande wa upinzani, ajabu viongozi wao wanafanya mambo kwa...
Wakati suala la ajira, kuboresha elimu, matumizi ya teknolojia vikitawala, vijana wametaka dira ya Taifa 2050 ipunguze umri wa watu kustaafu kwa lazima hadi kufikia miaka 55 kutoka 60.
Hayo yamesemwa leo Desemba 18, 2024 wakati vijana wakitoa maoni yao kwenye rasimu ya Dira ya Taifa 2050...
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo
Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu wanayapanga yatokee kwa sababu fulan.
Kwa leo naomba nizungumzie haya yanayotokea kipindi hiki cha mwezi...
Vijana vijana vijana! Nimewaita mara 3 kumbe hali ndiyo ipo hivi kuwa umiliki wa video za ngono ni mkubwa kuliko kumiliki maarifa mazuri na pesa. Mbona hii ni balaa sana!
===================
Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 95 ya vijana nchini wameathiriwa na ukuaji wa kasi ya teknolojia ya...
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho
Aidha, Mhandisi Debora Joseph Tluway amezindua Bonanza la Utamaduni Kaskazini Unguja...
Habari wakuu,
Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa .
Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika jamii ikiwa ni pamoja uhalifu, kupambana rushwa, dawa za...
Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.
sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .
psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
Wakuu,
Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu.
===========================================
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
Nionavyo mimi:
1) Naendelea kusikiliza na kusoma wanayosema baadhi ya vijana wa chama cha siasa, aina ya kauli wanazotumia dhidi yao wenyewe, inasikitisha sana.
Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kuna haja ya kufanya "harmonisation" au "coexistence of the two sides".
2) Kwa upande mwingine, ni...
Haya ni baadhi ya mambo yanayotesa sana vijana wa taifa hili.
1. Pombe kali, visungula, double kick
2. Betting
3. Ngono zembe
4. Simba na yanga
5. CCM
Kama kuna vingine unaweza kuongezea
Habari Wakubwa,
Naona kuna. Tukio sio la kawaida naanza kuona vijana tunaanza kuwaogopa Wanawake sijui kaka zetu walifanikiwa vipi.
Tena hawa kataa ndoa. Ndio wanatuharibu kabisa kisaikolojia kabisa.
TUNAKWAMA WAPI
🙏
Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM.
"Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri...
Ikiwa leo Tanzania Bara inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru wazee waliozaliwa kabla ya uhuru mkoani Geita wamewataka vijana kuacha kuilalamikia serikali kwamba haileti maendeleo kwenye jamii zao
Badala yake waiunge mkono izidi kuleta maendeleo kwani mpaka sasa Tanzania imepiga hatua kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.