Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani.
Kauli hiyo ameitoa wakati akiwanadi Viongozi wagombea ngazi ya...
Kwanini vijana wa Tanzania hawajadili mambo muhimu? Ni swali linalopaswa kutafakariwa kwa kina hasa tunaposhuhudia kundi kubwa la vijana likitumia muda na rasilimali zao kuwasifia viongozi pasipo kutathmini kwa kina viashiria vya moja kwa moja vya utendaji wao wa kazi unaolenga kuboresha maisha...
Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu
Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa.
Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case.
hii...
Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension.
A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye cryogenic sleep na kumuamsha tena.
karibu kwa mjadala;
Mashindano ya Samia Kagera Cup 2024 yaliyowakutanisha vijana na wananchi wa Mkoa Kagera kwa kuwahamasisha kushiriki kikamilifu na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024, kushiriki shughuli za maendeleo, kuonyesha vipaji pamoja na kuongeza ushiriki...
Qur'an inataja kisa cha vijana waliolala pangoni kwa muda mrefu kama mojawapo ya ishara za nguvu na hekima ya Allah. Hiki ni kisa cha "Watu wa Pangoni" (Ashabul Kahf), kilichoelezwa katika Surah Al-Kahf (18:9-26).
Maelezo ya Kisa:
1. Kukimbilia Pangoni:
Vijana hawa walikimbilia pangoni ili...
Last week nilipita pale nikapata zangu Samaki na Mihogo swaaaafi kabisa. Hio ni baada ya kuona matangazo mbali mbali instagram kuhusu Aslay Mihogo
Vijana kuweni wabunifu, huyu anakuchanganyia Samaki na Mihogo hadi unajiramba ramba.
Basi aje mrembo mmoja PM kesho niende nae tena
Wadada WA mjini, Wana mambo mengi, akilalamika humridhishi achana nae HUWEZI kuridhisha, wapo wanatumia Tango, chupa ya bia, carrot 🥕 na kwa sasa wamehama kwenye kibomba.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake alipomtembelea katika...
Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya.
Magonjwa ya ghafla
Ajali
Vifo vya usingizini n.k
Sababu hasa ya vifo hivi ni nini?
1. Zinaa na ulevi.
Mithali 6 : 32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
For read more download...
Habari wadau.
Binafsi nimeshangaa sana leo hii watu walovyomjia juuu Niffer kuchangisha pesa.
Miaka yote niffer anachangisha pesa na hakuna kesi ya kuvunja sheria yoyote kwake.
Niffer toka nimeanza kumsikia ni anafanya biashara inayohusisha kuchangisha watu pesa.
Biashara yake kuu...
Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa.
Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili yangu.
Nianzie mwaka 2017 nilipojiunga na chuo kikuu maarufu sana hapa nchini. First year semester ya...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA,
Leo wacha niwape Fursa vijana wenye vipaji na hawajapata mtu wa kuwashika mkono.
Ndugu yangu kama wewe ni msanii chipukizi na unahangaika siku zote, una kipaji cha kuimba na hausikilizwi,.
Lete nyimbo yako katika coment ambatanisha na namba yako ya simu.
Au hata...
JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI
Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
Aslaam,
Wakuu,
nimewaza hapa juu ya haya mawazo ya WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE na WATANICHUKULIAJE namna yanavyotufelisha wengi katika kufanya maamuzi.
Miongoni mwa mawazo yanayobomoa VIJANA wengi na kukosa uthubutu wakufanya jambo ni haya.
Mi nimmoja wapo Ambae muathirika wa haya mawazo...
Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye majuto baada ya kuingia kwenye mahusiano na wanawake makatili. Huku mtandaoni kumekuwa na wanaharakati...
Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM TAIFA, Leodger Leonard Kachebonaho alikuwa Mgeni Rasmi Baraza la UVCCM Wilaya ya Karagwe, Baraza lililofanyika tarehe 10/11/2024.
Akizungumza katika Baraza hilo la kikanuni amewataka vijana kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 27 Novemba 2024 kukipigia kura Chama Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.