vijana

  1. G

    Nyerere alitamani tuwe na vijana jeuri na wenye kujiamini si waoga, nini kimefanya vijana wetu kuwa kondoo na wenye uoga

    Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na...
  2. Last_Joker

    Freelancing Tanzania: Hela Imekuwa Rahisi au Hizi ni Hadithi tu?

    Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
  3. BigTall

    Mwenyekiti wa CCM akielezea tukio la Vijana waliodaiwa kupigwa risasi na Askari Zanzibar

    Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa Pia soma: ~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji ~ Jeshi la Polisi kuunda...
  4. Anonymous77

    Ushauri wa Vijana unatishia usalama wa maamuzi yako

    Siku za hivi karibuni ndio nimeelewa ile kauli ya "heshimu wazee" watu wengi wamekuwa wakitusisitiza vijana kuheshimu wazee na kuwaomba ushauri wazee na wale waliokuzidi umri sababu mara waliopitia mengi na wenye matatizo mengi ndio wenye ushauri mzuri. Lakini vile vile nimekumbuka ile kauli ya...
  5. Glenn

    Vipaji ( live bands and karaoke) hivi hawa vijana wanakwama wapi kutoka kimuziki?

    Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao. Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga za kila namna. Katika kundi hili utakuta kijana anaimba vizuri hadi kumzidi mtunzi wa wimbo husika...
  6. M

    Huu mtindo wa Vijana wa Sasa Kutumia Uzee kukashifu watu , Nini shida

    Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano, 1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana...
  7. Mjukuu wa kigogo

    Vijana wa ovyo tayari washachangamkia fursa kuzalisha jezi za Balthazar 400

    Yule mtu maarufu aliyezima habari zote duniani ikiwemo uchaguzi wa Marekani wadau wamemtumia kuanza kupiga pesa
  8. W

    Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

    Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao. KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother...
  9. K

    Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

    Habari wakuu! Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa. Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito...
  10. ChoiceVariable

    Bunge: Hali ya Utegemezi Nchini inatisha. Katika Watu 100, watu 87 ni Tegemezi

    Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi. Kwamba watu wenye uwezo wa kufanya kazi na Kuzalisha ni 13 tuu ndio wanawalisha watu 87. Pia soma zaidi hapa Yusuph Mwenda...
  11. B

    Hivi hawa mwaka 2040 Arusha ndo watakuwa wazee kwa vijana wao. "wazee wengi wa hovyo"

    Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
  12. T

    Jinsi vijana wasivyojua thamani ya muda

    JINSI VIJANA WASIVYOJUA THAMANI YA MUDA LIFE BEGINS AT 40.... HOW OLD ARE YOU? Life Begins at 40.... Huo ni msemo wanao Waingereza wakimaanisha maisha yako ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa au toka umefika duniani na toka umeanza kukua nk nk lakini bana maisha #halisi...
  13. G

    "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  14. G

    Matajiri ambao vyanzo vyao vya pesa havijulikani, huku ndiko baadhi wameanza kuokota magunia ya pesa, si pesa za masharti ila Jela inakuchungulia

    Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa. Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri wanaoingiza pesa kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili, si kila tajiri wa kutamani mali zake bila...
  15. Inside10

    Vijana wajuaji wa kibongo

  16. Mr Sir1

    Vijana wa Kupenda Mishangazi

  17. Cecil J

    Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  18. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini vijana wengi wenye umri (22-30) wanaoishi mkoani Mwanza ni washamba

    Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini kabisa hasa unapompa Dili ngumu, Wana tamaa sana hasa Na vijipesa vidogo vidogo, Na wakivipata...
  19. BLACK MOVEMENT

    Vijana wahitimu wa Vyuo Vikuu wanataka nani awapambanie?

    Hawa vijana hawawezi jipigania, hawawezi shinikiza ajira, haeawezi oaza sauti zao, hawa wanataka mtu baki awapiganie, na apigwe Mabomu na Polisi wakati anawapigania wao wakiwa kwenye keybord. Vijana wa vyuo vikuu mtaani ni wengi mno na CCM haitaki wapate hata ajira ili iwatumie ipasavyo hasa...
  20. Last_Joker

    Vijana wanaoponda 'White-Collar' Jobs: Ajira za Ofisini au hujasoma Chuo Kikuu?

    Unajua, siku hizi ukiwasikiliza vijana wengi, wanaonekana kuchukia zile kazi za ofisini za saa 9 mpaka 5. Utasikia wanasema, “Ah, ajira za ofisini ni utumwa tu” au “Kwa nini niteseke na mshahara wa mwezi wakati kuna biashara na fursa za mtandaoni?” Sasa swali linakuja, ni kweli ajira za ofisini...
Back
Top Bottom