vijana

  1. Tlaatlaah

    Madhara na Athari za Punyeto Zawaumbua na Kuwafedhehesha Vijana Wakiwa Ndani ya Ndoa Zao

    Unaweza kuhitimisha kwa kusema, Inafedhehesha sana, Inasikitisha sana, Inasononesha sana kwakeli. Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana. Ni aibu mno ndrugu zango.. Hivi sasa wanajutia nguvu imara sana za kijinsia, walizopoteza bafuni kwa nyeto kwa uhodari sana, lakini pia...
  2. Gulio Tanzania

    Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  3. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025

    Msanii maarufu wa muziki wa hip-hop, Joseph Haule, anayejulikana kama Profesa Jay, ametangaza rasmi kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza kwenye kipindi cha The Throne kinachorushwa na redio Crown FM leo Ijumaa, Oktoba 11, 2024, Profesa Jay ameeleza kuwa...
  4. Eli Cohen

    Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
  5. Prince_Nurudin_Tz

    Vijana wana chambua ngono kama mechi ya simbasc vs yanga sc

    uchambuzi wa VIJANA wa 2000 huko Facebook
  6. P

    Salamu kutoka US: Kidogo nivunje kiuno kwa mchezo huu wa vijana

    Habari zeni wa-TAMISEMI, Katika harakati zangu huku kwa Biden nikakutana na vijana wanacheza mchezo wa hiki kidude. Nikaona mtu mweusi hashindwi kitu. Nikaomba na mimi niwaoneshe jinsi wabantu tunafanya. Hawakuwa na hiyana, wakanipa hicho kidude, nikataka kufanya hizo flips kama wao. Ya kwanza...
  7. J

    KAMUSI: Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri

    KAMUSI "Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri na ndio waliobeba maono ya Taifa kwa sasa na siku zijazo" - Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Asante Mama kwa imani hii kwetu vijana, hakika...
  8. A

    Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Vijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha. Unakuta unaangalia runinga mara kipindi kinakatishwa kwa tangazo au kumtangaza mshindi wa mchezo...
  9. TUKANA UONE

    Hili Jiji la Dar es salaam limekubadilisha tabia au ni tabia yako iliyokuwa imefichika wakati huna pesa?

    Wairaq na wambulu wote ni ndugu! Dada yako anaumwa huko mkoani wanakuomba mchango hutumi unabaki tu nitawatumia,lakini kila weekend uko Kitambaa cheupe na Malaya huku mezani ukiwaongezea pombe watu usiowajua Ili uonekane una Hela! Mama yako aliyekulea na kukusomesha baada ya baba yako...
  10. Stroke

    Kwanini vijana wanatuita "mshua?

    Nahisi kama vile ni kutulipizia kisasi. Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa". Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua".
  11. Kichuguu

    Kwa vijana wa kiume wanaotafuta wachumba

    Neda Israel; kuna warembo wengi wa kishua mitaani
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana sio waaminifu. Nusura niingie JELA. Sitakuja kumdhamini Mtu walahi

    Nakumbuka 2018 nilikuwa na pikipiki Tatu. Mbili Boxer Moja Haugue, nikatafuta Vijana Watatu. Vijana wawili waliochukua Pikipiki za Boxer nikawaambia badala wanipe elfu 10 Kwa Siku kama bodaboda Wengine wafanyavyo Kwa maboss zao Mimi nikawaambia wanipe elfu 8. Kwa wiki wantumie elfu hamsini...
  13. milele amina

    Pre GE2025 Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha bila kukosa, mamia kwa maelfu kupiga kura 2024 na 2025

    Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati, matumaini, na sauti za vijana katika umri wa miaka 18 hadi 45 zinaweza kuwa chachu ya mabadiliko...
  14. mdukuzi

    Vijana ndoa muhimu, Gerald Hando amezeeka ghafla

    Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla. Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha. Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
  15. milele amina

    Hasara za Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)

    Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya. 1. Kutengwa Kijamii Matembezi yanaweza kuonekana kama shughuli za kijamii, lakini kwa vijana...
  16. trojan92

    Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa.?

    Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa? Moja kwa moja kwenye mada Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka mshangazi. Ishu yangu iko hivi; Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu...
  17. Roving Journalist

    Halmashauri ya Mji Kibaha kutoa mikopo ya Tsh. Bilioni 1.6 kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Mji Kibaha inatarajia kutoa mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yenye thamani ya Shilingi 1,169,428,549 ili kuwawezesha kupambana na adui umasikini Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa ametangaza uwepo wa fedha hiyo kwa...
  18. Teko Modise

    Vijana wa mwaka 1990 mnazeeka ujue nyie sio watoto tena

    Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
  19. Eli Cohen

    Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

    Barua ya usajili: Mwamba mwenyewe ndio huyu (mwazilishi): Meanwhile in Bongo:
  20. Suley2019

    LGE2024 Nimesanuka, mitaa yote niliyokaa Viongozi wa Serikali za Mitaa ni Wazee, kwanini Wanawake na Vijana hatuzishobokei nafasi hizi?

    Salaaam Wakurungwa, Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute viongozi wa Serikali za Mitaa kupata huduma mbalimbali. Kautafiti kangu kwa mitaa yote niliyopita ofisi...
Back
Top Bottom