Kijiwe cha JF: Kona ya vijana wa rika zote na jinsia zote

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Tunatambua changamoto zenu mbalimbali lakini pengine hamna pa kuzisemea
Msiwe introvert sana.. Kuna tiba kwenye kuongea .. Ongeeni
Story za kawaida
Yatokanayo
Yasemwayo
Ya afya ya mwili
Ya afya ya akili
Mahusiano no
ILA umbea na majungu wekeni kando😀
Kuna jopo la wazee watakuwa hapa wakiangusha mojamoja
 
Hii afya ya akili ni sula nyeti sana kwa vijana below 35 years of age. 😁
Tuna wagonjwa wengi wa akili umri huo kuliko tunavyofikiria.
 
Ndio umri wa kusaka
Stress za mahusiano
Vibuti
Usaliti
Kuchapiwa
Ajira
Kutoboa
Viber100🥱
Vimavi/nuksi nk

25-35 ni age flani kama kijana hajapata kazi/kibarua anachanganyikiwa.
Ni age binti anakuwa hajui anahitaji nini, akilosa ajira na ndoa hapo, anapoteana.
Ni age ya makosa mengi ya kimaisha.
Single mothers wengi wanapatikama hapo.
Vijana wenzi wanaingia katika utapeli, wizi, uraibu wa mada wingi sana age hiyo.

Ushauri: Age hii ndio age vijana wanahitaji sana ushauri, kutiwa moyo na kuelekezwa game ya maisha. Vijana wengi hawana MENTORS kwenye maisha yao. Ndio maana wanajikuta kwenye makosa, kukata tamaa n.k.

Vijana wengi wanajipambania wenyewe kutoka, wapo peke yao. Wapo wapweke na dunia inawaadhibu wanapofanya makosa.
 
Kila mtu ana shida ya afya ya akili,inategemea tu kwako inaerupt baada ya muda gani na namna ya kuicontrol😅

Kuna situation waga inatokea inaku stress kiasi kwamba dishi linapata moto.
Kuna siku mimi waga nakiwasha kazini kwangu, vijana wanajisemeaga tuu, tatizo bosi anakula sana kaya. 😁
Kumbe situmii kaya wala nini, nakua tuu nimevurugwa na ishu zangu. 😁
 
Mara nyingi tukivurugwa vinapanda asee..😆😆 sasa vinapanda kwa namna gani? hapo ndipo tunapotofautiana, mwingine atahisi huzuni,mwingine ujasiri n.k
 
25-35 ni age flani kama kijana hajapata kazi/kibarua anachanganyikiwa.
Ni age binti anakuwa hajui anahitaji nini, akilosa ajira na ndoa hapo, anapoteana.
Ni age ya makosa mengi ya kimaisha.
Single mothers wengi wanapatikama hapo.
Vijana wenzi wanaingia katika utapeli, wizi, uraibu wa mada wingi sana age hiyo.

Ushauri: Age hii ndio age vijana wanahitaji sana ushauri, kutiwa moyo na kuelekezwa game ya maisha. Vijana wengi hawana MENTORS kwenye maisha yao. Ndio maana wanajikuta kwenye makosa, kukata tamaa n.k.

Vijana wengi wanajipambania wenyewe kutoka, wapo peke yao. Wapo wapweke na dunia inawaadhibu wanapofanya makosa.
Mimi ninavyoona nimechelewa acha kabisa! Nina haraka psychologically!😢
 
Back
Top Bottom