Mimi ninavyoona nimechelewa acha kabisa! Nina haraka psychologically!😢
Sasa utafanya makosa kwa haraka yako hiyo. Tafuta ushauri mzuri.
Mimi ninavyoona nimechelewa acha kabisa! Nina haraka psychologically!😢
Ushauri: Age hii ndio age vijana wanahitaji sana ushauri, kutiwa moyo na kuelekezwa game ya maisha. Vijana wengi hawana MENTORS kwenye maisha yao. Ndio maana wanajikuta kwenye makosa, kukata tamaa n.k.25-35 ni age flani kama kijana hajapata kazi/kibarua anachanganyikiwa.
Ni age binti anakuwa hajui anahitaji nini, akilosa ajira na ndoa hapo, anapoteana.
Ni age ya makosa mengi ya kimaisha.
Single mothers wengi wanapatikama hapo.
Vijana wenzi wanaingia katika utapeli, wizi, uraibu wa mada wingi sana age hiyo.
Ushauri: Age hii ndio age vijana wanahitaji sana ushauri, kutiwa moyo na kuelekezwa game ya maisha. Vijana wengi hawana MENTORS kwenye maisha yao. Ndio maana wanajikuta kwenye makosa, kukata tamaa n.k.
Vijana wengi wanajipambania wenyewe kutoka, wapo peke yao. Wapo wapweke na dunia inawaadhibu wanapofanya makosa.
25-35 ni age flani kama kijana hajapata kazi/kibarua anachanganyikiwa.
Ni age binti anakuwa hajui anahitaji nini, akilosa ajira na ndoa hapo, anapoteana.
Ni age ya makosa mengi ya kimaisha.
Single mothers wengi wanapatikama hapo.
Vijana wenzi wanaingia katika utapeli, wizi, uraibu wa mada wingi sana age hiyo.
Ushauri: Age hii ndio age vijana wanahitaji sana ushauri, kutiwa moyo na kuelekezwa game ya maisha. Vijana wengi hawana MENTORS kwenye maisha yao. Ndio maana wanajikuta kwenye makosa, kukata tamaa n.k.
Vijana wengi wanajipambania wenyewe kutoka, wapo peke yao. Wapo wapweke na dunia inawaadhibu wanapofanya makosa.
Pole kijana mwenzanguHii vita tumeshapoteza sisi kama vijana. Labda tuwalaumu nyie wazee kwa kutuzaa wengi bila mpangilio.
Tofauti na hapo kila kijana apambane anavyoweza tu.
Wewe niambie kwa jinsi nchi za kiafrika zinavyoendeshwa, zitawezaje kuhudumia zaidi ya vijana bilioni 1 waliopo?Its never too late
Tuacheniiiiii vijana 👌Mambo yenyu haya.. Sisi tuachieni msondo😀View attachment 3576847
Ni mchakato kuelekea mabadiliko ya kueleweka! Hatutabaki hapa tulipo milele trust meWewe niambie kwa jinsi nchi za kiafrika zinavyoendeshwa, zitawezaje kuhudumia zaidi ya vijana bilioni 1 waliopo?
Bora yenu nyie wazee mnakaribia kufa.
mimi nipo kwenye age hiyo na pia najipambania kila angle ni ukweli25-35 ni age flani kama kijana hajapata kazi/kibarua anachanganyikiwa.
Ni age binti anakuwa hajui anahitaji nini, akilosa ajira na ndoa hapo, anapoteana.
Ni age ya makosa mengi ya kimaisha.
Single mothers wengi wanapatikama hapo.
Vijana wenzi wanaingia katika utapeli, wizi, uraibu wa mada wingi sana age hiyo.
Ushauri: Age hii ndio age vijana wanahitaji sana ushauri, kutiwa moyo na kuelekezwa game ya maisha. Vijana wengi hawana MENTORS kwenye maisha yao. Ndio maana wanajikuta kwenye makosa, kukata tamaa n.k.
Vijana wengi wanajipambania wenyewe kutoka, wapo peke yao. Wapo wapweke na dunia inawaadhibu wanapofanya makosa.
vijana wa miaka 8 tukutane hapaTunatambua changamoto zenu mbalimbali lakini pengine hamna pa kuzisemea
Msiwe introvert sana.. Kuna tiba kwenye kuongea .. Ongeeni
Story za kawaida
Yatokanayo
Yasemwayo
Ya afya ya mwili
Ya afya ya akili
Mahusiano no
ILA umbea na majungu wekeni kando😀
Kuna jopo la wazee watakuwa hapa wakiangusha mojamoja