Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,910
- 12,926
Imepokelewa,Ziada
Usinywe kwa kuiga
Usinywe kwa sifa
Usikope pombe
Na epuka kujenga heshima bar.. Hilo ni kaburi la kujitakia na jeneza la promotion au la bei ya jioni
Mimi sio mnywaji kabisaa.