Kijiwe cha JF: Kona ya vijana wa rika zote na jinsia zote

Sema kuna wale wapika chai, wa kuweka weka mambo kibao, wale nafikiri wanapika. 😁
Tofauti kuu kati ya kupika na kuchemsha ni kwamba kupika ni neno pana linalojumuisha njia zote za kuandaa chakula kiwe tayari kuliwa
wakati kuchemsha ni njia moja mahususi ya upishi inayotumia maji yanayochemka
 
Kumbe we unaongelea ipi Dad 😁
Narudia chai yapikwa mwambie mom leo sitaki chai ya ki kristo nataka unipikie chai🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Thread 'Kachai katamu' Kachai katamu
 
Upo sahihi chai yapikwa
Hiyo ya kuchemsha sio chai ni maji moto

Zile za ofisini mnakuwa na jagi la umeme, maziwa ya unga,majani ya chai premium, majani ya cha kahawa, kopo la sukari, Milo, sijui soya, nafikiri ile ni process ya kuchemsha.
Pakiwa na maji ya moto tuu mnapata chai. 😁
 
Tofauti kuu kati ya kupika na kuchemsha ni kwamba kupika ni neno pana linalojumuisha njia zote za kuandaa chakula kiwe tayari kuliwa
wakati kuchemsha ni njia moja mahususi ya upishi inayotumia maji yanayochemka
Sawaa ila sasa ndio hivyo chai yafaa ipikwe sio kuchemshwa
 
Zile za ofisini mnakuwa na jagi la umeme, maziwa ya unga,majani ya chai premium, majani ya cha kahawa, kopo la sukari, Milo, sijui soya, nafikiri ile ni process ya kuchemsha.
Pakiwa na maji ya moto tuu mnapata chai. 😁
Kwa kweli hiyo ni ya kuchemsha chai hata hainukii haisisimui mwili hayo maji moto
 
Zile za ofisini mnakuwa na jagi la umeme, maziwa ya unga,majani ya chai premium, majani ya cha kahawa, kopo la sukari, Milo, sijui soya, nafikiri ile ni process ya kuchemsha.
Pakiwa na maji ya moto tuu mnapata chai. 😁
Swaadaktaaa😀
 
Back
Top Bottom