Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Mbona mada za umbeya ndiyo zinazoongoza kuwa na views wengi na engagement kubwa humu ndani...????
Watu wanapenda /tunapenda umbeyaMbona mada za umbeya ndiyo zinazoongoza kuwa na views wengi na engagement kubwa humu ndani...????
Ajabu na wazee nao huwa tunaishia kuwazoom tu kwenye hizo mada wakiwa wanachangia.Watu wanapenda /tunapenda umbeya
Mbona mada za umbeya ndiyo zinazoongoza kuwa na views wengi na engagement kubwa humu ndani...????
Basi kuanzia leo mtu akianzisha mada ya kimbea asibezwe na kuambiwa humu siyo fesibuku au Instagram.!!Tajiri, watu wengi humu huja kuhabarika, kufurahi na kupoza machungu ya maisha na kutafuta relief ya masaibu yao. 😁
Mada ngumu humu hazitapata watu, watazisoma tuu na hazitapata engagement kwa sababu niliyokwambia hapo juu
Angalia majukwaa ya Intelijensia/Elimu/Sheria/Historia kama yana watu.
Basi kuanzia leo mtu akianzisha mada ya kimbea asibezwe na kuambiwa humu siyo fesibuku au Instagram.!!
Maana hata hao walioko huko nao huwa wanaperuzi kupoza machungu ya maisha.
KabisaMbona mada za umbeya ndiyo zinazoongoza kuwa na views wengi na engagement kubwa humu ndani...????
wazeee wa weseeee na mate.. pangoni kama nyokaHakina muda wa kuumiza kichwa kabisa
Kama sio mpenzi wa umbeya kuna majukwaa usitembelee kuepka kadhiq hiyoAjabu na wazee nao huwa tunaishia kuwazoom tu kwenye hizo mada wakiwa wanachangia.
Nakutafuta unishauri tu mkuu😌Sasa utafanya makosa kwa haraka yako hiyo. Tafuta ushauri mzuri.
Hakika mkuu.Ndio maana wasomi huitwa waona mbali
Nakutafuta unishauri tu mkuu😌
Asante sana! Wacha nisubiri..Sasa mimi sina mipaji cha kushauri, ila nitamuomba mentor wangu. Akusaidie kukishauri. Ni mentor mzuri.