Babu kunywa kiasi mzee😂😂Kuna wahuni walidukua sim yangu jana usiku, yaani wameandika comments za hovyo sana humu ndani..🫤
Ila wakuu, pombe sio kitu poa alooo.....😂
Ngoja nikitafute hiki kitabu kaka.Tusingewekeza kwenye siasa.. Tungewaokoa wengi
Nawashauri watafute hiki kitabu
The Sounds of Silence: Teenagers and Mental Health
Babu kunywa kiasi mzee😂😂
Wanywaji wanaelewa hii. Unakunywa usilewe😔Kama hivi?View attachment 3576901
Nachoka Mimi😂😂🙌🏾..Sasa nini maana ya kunywa kama hulewi? 😂
Ila kusoma vitabu kunabadilisha sana mitazamo aisee.Kina madini ya kutosha sana
Kwa vijana wanaojifunza pombeNachoka Mimi😂😂🙌🏾..
Kunyweni wakuu msivunje tu Sheria za nchi🚮
Hii imekaa poa..Kwa vijana wanaojifunza pombe
Ulevi una kanuni kuu tatu muhimu... Ukijiona uko bar na umeanza kuzisahau ondoka haraka sana hilo eneo.. Maana kesho ipo na waandishi wa kujitolea pia wapo
Kamwe Usisahau hizi kanuni tatu
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
Hauna softcopy yake mkuu Mshana Jr ?Tusingewekeza kwenye siasa.. Tungewaokoa wengi
Nawashauri watafute hiki kitabu
The Sounds of Silence: Teenagers and Mental Health
Asante hata mimi mwanao ninywe pombe auKwa vijana wanaojifunza pombe
Ulevi una kanuni kuu tatu muhimu... Ukijiona uko bar na umeanza kuzisahau ondoka haraka sana hilo eneo.. Maana kesho ipo na waandishi wa kujitolea pia wapo
Kamwe Usisahau hizi kanuni tatu
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini