Tukio limenikuta muda huu baada ya kusimamishwa na vijana wadogo skauti kwenye chombo changu cha usafiri
Tena huyu skauti alienisimamisha umri wake ni miaka 19/20 halafu ananimbia paki piki piki yako pale
Ilibidi nishuke nimfuate nimchape kibao kwanza na nikamuuliza wewe huna sare yoyte...
Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much.
Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno.
Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana wengi huwa wanapenda kuomba nafasi za kujitolea ili mradi tu watimize ndoto zao na wengine huamini...
Kwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye interview ....... hakuna wa kumraumu zaidi ya magufuri..ukweli usemwe..
Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini.
Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
Heloo wana JF
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura wengi hawaendi kabisa.
Hii inathiri upatikanaji wa matokeo tarajiwa sababu wanatarajia mshindi ambae...
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania
Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania
Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania
Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
Vijana wa mwaka 2000 mpaka sasa inasemekana ni hatari sana. Wanahitaji ushauri. Vijana hawa wamekuwa wakionekana wakiwa wanashindana na "walipotokea"
Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na Mdada anahakikisha anabaki na "kufuli"lake na kulibandika ukutani!
SWALI KWA MSOMAJI: Je, wewe nguo...
Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza.
1-no tattoos
2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume.
3-no twerking hadharani.
4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi.
5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu
6-ukipata chance ya kusoma piga book...
Wakuu salaam,
Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote.
Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga...
serikali
serikali za mitaa
serikali za mitaa 2024
uchaguzi
ushiriki uchaguzi 2024
ushiriki wa vijanavijana
wanawake
wanawake kushiriki uchaguzi
wanawake na uongozi
Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini
°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga...
1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili Zako zitakuw zinawaza Sex tu. Mambo ya Maendeleo yatakupita kushoto.
2. Acha Kabisa Kuangalia...
Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink
Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani kijana huyu.
1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.
2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi.
Nini maoni yako?
Angalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na aliyetuma wale vijana wahovyo kufanya ubakaji.
Majibu yake ni kuwa aliyewatuma ni aliyekuwa RPC wa Dodoma...
We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijana wenu mliowapa mafunzo wamesambazwa kwenye kila wilaya kutoa mafunzo ya namna ya kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.