Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika.
Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba...
Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima
Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
Sisi ni wakala wa Bima tupo Dar es Salaaam, Kinondoni, tunahitaji vijana wa kike/kiume, wenye elimu ya bima ngazi ya cheti/Diploma Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima, ni kazi ya mauzo/masoko kama una sifa tajwa tafadhali ni pm Kwa maelekezo zaidi@vigezo na na mashariti kuzingatiwa.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (katikati), akiwa ameongozana na Waziri wa Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro (watatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (watatu kushoto)...
Peter Salasya ni mbunge wa Mumias, Kenya, ambaye alingia madarakani akiwa na miaka 32. Kabla ya kuingia kwenye siasa, maisha yake yalikuwa na changamoto nyingi na alipitia vipindi tofauti, akijaribu kutafuta njia yake. Ingawa alikabiliwa na vikwazo, alijitahidi na hatimaye alifanikiwa kupata...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
afisa
afisa mtendaji
afisa mtendaji mkuu
ajira
ajira kwa vijana
akutana
chama
kikwete
mazungumzo
mikakati
mkuu
mtendaji mkuu
ridhiwani
ridhiwani kikwete
tanzania
vijana
waajiri
Agosti 6, 2024
Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram.
Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X hawakuipokea wakaniambia nafasi zimejaa katafute sehemu zingine na kunirudishia barua yangu ...
Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi mabachela.
Imagine mke wa mchungaji, status zake ni makongamano na semina za kibiblia na neno la...
Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
Anonymous
Thread
jijini mbeya
mbeya
mtaa
serikali
serikali ya mtaa
shule ya msingi
uwanja
vijana
wananchi
Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo'
Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo, wanakamatwa na tanpol bila sababu za msingi, constitution inabakwa out in the open. Kodi/tozo zimekuwa...
Vijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto?
Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana.
Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na vyombo vya moto tena vilivyo katika mwendo kasi mimi kwa kweli hunihuzunisha sana.
Inaonekana ni...
Leo ni siku ya vijana duniani, ni vyema isipite hivi hivi bila kutia neno kwa vijana
Sore tunajua moja ya kundi lenye ushawishi na nguvu, ni vijana
Moja ya kundi ambalo hutajwa kama taifa la kesho ni vijana.
Japo vijana sio taifa la kesho tena, bali taifa la sasa.
Moja ya kundi ambalo...
Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali imeratibu na kusimamia miradi ya kimkakati ikiwemo kutengeneza ajira, kupanua masoko na kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.