HERI YA SIKU YA VIJANA ULIMWENGUNI
Tangu pale Vijana wamekuwa vinara wa maendeleo kwenye bunifu za kidigitali, leo tunawatakia Vijana wote kuendelea na moyo wa kufanya bunifu zaidi zitakazotengeneza ajira nyingi.
Heri ya siku ya vijana Duniani
SamiaAPP
KaziIendelee
Habari JF
Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .?
Soma Pia:
Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
Huko mitaani tunaishi na vijana wa kila namna ila hawa vijana ikiwemo hawa wapiga mizinga ya buku ni hatari sana kwanini nasema ni hatari
Unavyotoa buku nakumpa mpiga mzinga sio kwa anashindwa kuipata hiyo pesa mpaka anakuomba ila hii ni njia ya vibaka wanayoitumia kujua kama wewe ni mwepesi...
WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA WAKINA MAMA NA VIJANA (MBT) KWA VITENDO
•Leseni 4 zakabidhiwa kwa kikundi cha Mshikamano Women
•Waziri Mavunde awapongeza kwa kujenga Zahanati na kununua Ambulance
•Aitaka Halmashauri ya Msalala kupunguza ushuru kwa wachimbaji wadogo
•Rais...
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
bavicha
bavicha mbeya
ccm
chadema
hii
jeshi
jeshi la polisi
kongamano
kongamano la vijana
maagizo
majukumu
marufuku
nchi
police
polisi
sheria
siku ya vijana
uongozi
uongozi wa juu
vijana
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yanayofanyika Mbeya
Ifahamike kwamba maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakusanyika Mbeya kwa...
Natumaini wikiend iko poa sana twende kwenye mada kuna jamaa yangu mmoja napiga nae mishe yani ni shida kila jambo ukiongea nae au mkashauliana bas lazima lifike kwa mama yake uzuri mama yake baadhi ya biashara namuuziga kwaiyo ananiambiaga nilichokuja kugundua jamaa makuzi ya kulelewa na single...
Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process.
Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye...
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao.
Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau...
Maisha si bahati, maisha ni mikakati thabiti na mipango. Ingawa mara chache maisha huweza kuwa bahati. Binafsi nasema kuwa mtu yeyote anayeishi kwa kusubiri bahati imwangukie huyo ni tahira.
Vijana maisha si bahati, sasa wasomi wa vyuo vikuu wako wengi, vya kati pia wako wengi na vyuo vya chini...
ladies and gentlemen,
sijatangaza uanze kuchungulia kidevu au kichwa cha huyo kijana mwenzako hapo jirani, kama ana mvi ama la, halafu kisha uanze kumtathimini kana kwamba ni mpiga nyeto; hapana sijasema wala kumaanisha hivyo, bali nimeuliza tu, sio kwa ubaya lakini kwa wadau kwamba,
kwenye...
Habari ya 8 8 viongozi,
Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania.
Nitaanza kama ifuatavyo.
1. Dar es Salaam na viunga vyake
Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea...
Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu.
1: Kuongezeka upotoshaji katika dini
2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa.
3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
INTRODUCTION:-
Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!!
SCENARIOS:-
PISI YA KWANZA.
School mate wa Advance PCB,
Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali.
Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga...
Habari wana jamvi naomba kuuliza swali hili kwenu tupate majibu sahihi Kuna wimbi kubwa la vijana ambao hawajihusishi kabisa na masuala ya siasa unahisi sababu ni zipi na Nini kifanyike?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.