Mko powa
Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
Hivi hawa dada zetu mtaani ni nani kawaambia kuwa mwanaume akiwatongoza muda huohuo waanze kuomba pesa?
Hivi mtu nimeonesha nia tu ya kukutaka hata papuchi nimeona sio kipaumbele kwanza...sababu nataka tujenge mahusiano kwanza mtu anashindwa kujikaza kusubiri hata wiki iishe wakuu.
Yani kwa...
Habarini wanajamiiforums,
Hivi sasa kumekuwa na ongezeko la magonjwa yasiyokuwa ya kueneza (non-communicable diseases) kama vile kisukari, shinikizo la damu na kufeli kwa figo miongoni mwa vijana wadogo wenye umri wa kati ya miaka 20-35.
Je, unahisi wapi tunakwama na tufanyeje kujikwamua...
Habari za jioni wana jukwaa...
Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.
Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada...
Naitwa Mturutumbi, na leo nataka kuchambua athari za kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa vijana wa kisasa. Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya vijana, lakini matumizi yake kupita kiasi yanaweza kuwa na athari kubwa katika nyanja mbalimbali za maisha...
Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana.
Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu...
Anaitwa Julius! Ni Gen Z kutoka nchini Kenya.
Amewaasa vijana wa Afrika kuwa njia pekee ya kuleta MAGEUZI ni kupinga maovu yanayofanywa na Serikali zao. Katoa wito huo alipokuwa mahakamani kwa tuhuma za kusababisha uvunjifu wa amani.
Baada ya kusomewa shaka lake na kutakiwa kujibu kama ni...
House girls wote popote mlipo.
Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA.
Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini.
Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata ajira za kuduma kupitia mradi wa kusindika na kuuza mafuta ya alizeti.
Kwa mujibu Muhasibu wa...
Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri.
ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto.
Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata...
Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka...
Inakadiriwa kuwa vijana wapatao milioni 23.6 barani Afrika (wenye umri wa miaka 15-35) hawana ajira – sawa na mmoja kati ya 22 (4.5%). Kwa idadi hii kutarajiwa kuongezeka hadi milioni 27 ifikapo mwaka 2030, umuhimu wa ajira ni wa hali ya juu. Katika muktadha huu, World Data Lab na Mastercard...
Kumekuwa na watu mbalimbali wenye mitaji yao lakini wameshindwa kujua biashara za kuwekeza vijana karibuni tujuzane fursa mbalimbali za kutuinua kimaisha.
Katika mitandao ya kijamii kumekuwepo na tabia ya kundi kubwa la vijana wa Kitanzania kuhabarishana, kuombana, kusherehesha na kugaiana video za pornography za watu mbalimbali ambazo wao wanaita "connection".
Hizo "connections" zenyewe sio hata za watu maarufu wenye athari zozote katika maisha...
Vijana wengi tz tunajitafuta huku tukiwa hatujui ni lini tutajipata kuwa na maisha Bora ya Leo n kesho za watoto wetu.
Viko vitu Kwa vijana wengi huvifanya kama njia za kuona watafanikiwa zaidi wao baadhi kumbe ndio wanaji tokotesha jumla jumla.
Vitu vifuatavyo tukiacha vijana wa kitz...
Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala
Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani?
Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
kuelekea uchaguzi 2025
siasa
siasa tanzania
uchaguzi 2024
uchaguzi mkuu 2025
uchaguzi serikali za mitaa
ushiriki vijana uchaguzi
vijanavijana na uchaguzi
Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona.
Kijana kama Lucas mwashamba anapambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.