Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela
Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane"
https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua.
Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto...
Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi wa kusimamia usalama.
Baadhi ya sababu za maandamano hayo ni kupinga rushwa katika taasisi za umma...
Naandika Uzi huu moyo wangu ukibubujikwa na machozi.
Kuna vitu vinafanyika kwenye madhabahu mpaka mtu unaogopa, na huhitaji PhD Ili kujua wengi wa hawa leo waliojipa unabii ambao sina hakika hata kama walipitia kwenye vyuo vya biblia wakapikwa wakapikika.
Sio mavazi wanayovaa, si lugha...
Mwandishi - Diane Walls.
Wanawake vijana, hii ni kwa ajili yenu.
Mwanamke mmoja alifika dukani akiwa amevalia nguo zinazoonyesha mwili wake vizuri sana. Mwenye duka, akiwa mzee mwenye hekima, alimtazama vizuri, akamwomba aketi, akamtazama moja kwa moja machoni, na kusema jambo ambalo...
Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji.
Nafurahi pia Kusema kuwa ,utaratibu uliopo Tanzania wa kuchangiana Kila Kijana anapotaka kuoa imekuwa ni mkombilozi Kwa...
Ridhiwani ana uwezo gani wa kuhakikisha vijana wanapata ajira? Yeye ndio mtunga sera za nchi? ndio mpanga mipango ya hii nchi?
1. Ajira za Vijana ziko kwenye yale ma V8 ya anasa.
2. Ajira za vijana zipo kwenye zile ajira Raisi anafanya recyceling kana kwamba kuna watu walizaliwa wao tu kupewa...
Mwezi wa kwanza: Sasa ndugu yangu unajua kwanini nimekwita tukutane hapa?
Nepi: Hapana ndugu yangu, hebu niambie..
Mwezi wa kwanza: Mimi nina nia ya kupambana na yule mama katika kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama katika uchaguzi mkuu, hivyo kama katibu mwenezi mstaafu, ninaomba...
🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu.
🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku.
🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya Matatizo ya akili huanzia katika umri wa ujana. Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na...
Ashukuriwe na kukumbukwa Mzee wetu Lowasa. Aliwaza kitajiri na hakuwahi kuabudu umaskini.
Alianzisha shule za kata lakini alipofaulu kwenye Mradi huu alitoka adharani akatueleza madhara ya matokeo ya kizazi cha shule za kata kwa siku za mbele.
Alituambia tusiweka misingi ya kuwaingiza vijana...
Mjitahidi kuzunguka na mikoa ya wenzenu nchi kubwa hiyi msijifungie kwenye box
Huku niliko unaweza kaa hata mwez usimsikie MTU akitaja Samia suruhu au kiongozi wa nchi
Stories za huku
👉 oya mwana zile scania zako uliagiza wapi; oya Remy niazime million 30 nikanunue vocha;
wakuu mwenyewe...
Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
Habari watu wa Soka
Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17.
VIGEZO:
1. Ni lazima kijana awe mkazi wa Singida
2. Ni lazima kijana awe na umri kuanzia miaka 16 hadi 19
3. Ni...
Sio kwa ubaya na wala sipo hapa kusema anachokifanya ndugu mwalimu ni kitu kibaya lakini nataka niwakikishie hii sio njia sahihi ya kujifunza biashara ya nafaka.Hapa mtaishia kujifunza baishara na kilimo cha makaratasi.
Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa...
Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake.
kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ?
kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
CHADEMA na kale kakundi ka @MariaSTsehai wanapush hushtag #KataaEACOP kwa lengo la kudhoofisha ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka bandari ya Tanga. Acheni kutumika kiboya.
EACOP stand for East African Crude Oil Pipeline. Ni kampuni lenye share holders wanne yani...
Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.