Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Vijana wa sasa wengi wao wanataka familia na hata wale wanajikuta tayari wanafamilia kwa maana Mke na mtoto au watoto lakini maisha anayoishi na hiyo familia yake ni ujinga mwingi
Kijana huyu wa kiume akishampa binti kwanza ataanza kukataa huo ujauzito, mwingine ataukubali lakini matunzo sifuri.
Lakini kuna wale ambao wakiwa wanatoa matunzo wanaoa wamemaliza lakini vitu vingine aviendelei
Mfano mwanamke akiwa na mimba lazima apate uangalizi vizuri na hapa ndipo mapenzi lazima yaongezeke, lakini vijana wa sasa hakuna lolote wanalifanya
Wazazi wengi mlishindwa kuwaanda vijana wenu vizuri