KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
37023.jpg


Hizi pombe za 'bei poa' zinazidi kuumiza vijana bila wao kujijua na Serikali kupitia TRA wameridhia (zina sticker) mradi wanapata kodi yao.

Madhara yanayochochewa na unywaji wa pombe hizi ambazo nahisi hazijakidhi vigezo ni makubwa huko mbeleni.

Serikali inayoangalia zaidi mapato na si usalama wa raia wake inatia mashaka.

Soma pia:
1) KERO - Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa

2) KERO - Pombe kuuzwa kwenye maduka ya vyakula mtaani imekuwa tishio, inachochea ongezeko la vijana walevi

3) KERO - Serikali imeamua vijana wafe kwa Pombe kali kwa kuweka KODI
 
ningekuwa na mamlaka ningepiga marufuku uzalishaji na uingizaji wa pombe zote aina ya spirit zina haribu vijana jaman wanavimba mashavu hadi huruma na kuvimba huko sijui ndio dalili ya ini kuungua jaman serikal iingilie kati tunazika kila kukicha vijana wanaisha ukiwatazama kama vibabu vyenye miaka 90
 
Back
Top Bottom