KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
ati ma nini boss? Aki umetisha!

wao maisha yao safi kabisa, tena hayo mataputapu hawanywi, wanawatengenezea maskin mnunue mnywe ili wao waendelee kua matajiri, wao wanakunywa maji, MAZIWA fresh, juis fresh, chakula kizuri..Wana drive gari za milioni 800 . Nyumba nzuri, familia inaenda ULAYA kama chooni, wewe unauziwa maji ya betri unaambiwa ni pombe na unakunywa kwa fujo na picha na status mnaweka eti mnakula maisha . Figo zinafeli mwisho wa siku unaishia kwenye dialysis tena hapo kama huna pesa ndio unasubiria kufa tu.
 
Ndipo ulipotokea hapo ukafyonza na ule uji uji wake shenzzzzz😠😠
Kam unatengeneza pombe wewe ni Kumah, kama baba yako ndio anatengeneza yeye na wewe ni makuma, kama unakunywa wewe ni Kumah pia subiria kwenda kuanza dialysis.
 
Serikali inataka kuongoza watu wajinga inajua mkielimika hamuwezi kutawalika

So kunyweni vuteni tuwatawale, ukiwa na akili kidogo tu hauwezi kunywa hivyo vitu…

Serikali itazidi kuwagongea mihuli tu ili ziingie kwa wingi tuzidi kufa figo na maini mwisho tufe mwili

Your government doesn’t care about you, kufa tu fala wewe
 
Magufuli alaumiwe kwa hili, alifungia vijogoo eti ana tunza mazingira kitokeo chake ndo vikaibuka hivi vitakataka

Shingwaa
Cofee
Ambulance
Highlife
Jobo
Na ufala mwingine mwingi
 
Magufuli alaumiwe kwa hili, alifungia vijogoo eti ana tunza mazingira kitokeo chake ndo vikaibuka hivi vitakataka

Shingwaa
Cofee
Ambulance
Highlife
Jobo
Na ufala mwingine mwingi
Hii Jobo nasikia mzalishaji ni jamaa mmoja hivi anafanya kazi/alikuwa breweries.
 
Kwani hujui kusoma...nmesema MAKUMA ...
wao maisha yao safi kabisa, tena hayo mataputapu hawanywi, wanawatengenezea maskin mnunue mnywe ili wao waendelee kua matajiri, wao wanakunywa maji, MAZIWA fresh, juis fresh, chakula kizuri..Wana drive gari za mil800 .Nyumba nzuri, familia inaenda ULAYA kama chooni, wewe unauziwa maji ya betri unaambiwa ni pombe na unakunywa kwa fujo na picha na status mnaweka eti mnakula maisha .Figo zinafeli mwisho wa siku unaishia kwenye dialysis tena hapo kama huna pesa ni kufa tu.
samahan bro n kama kuna mtu wa familia yenu ashaumia au kudhurika na pombe coz sio kwa hasira hizi bt uyasemayo ni ukwel lakin kumbuka hata wewe hapo ulipo ukaamka cku moja na kufanya biashara ya matunda kuna watakao kulalamikia tena sana na ni matunda hapa la msing tuhamasishe watu waache hizo pombe. kuwa baloz hapo ulipo kuwashauri watu 3 nao kila mmoja ashauri 3 ndan ya mwez tutakuwa tumesaidia wengi kuliko humu jf bro. FREE Lissu
 
Tuone na kitambi uchwara mkuu🤣
20260503_140454.jpg
 
Hizo pombe zimeua vijana wengi, zipigwe marufuku.
Na watumiaji wengi ni boda.
 
Vile hampendi masikini afurahie maisha yaani kipato changu per day ni 10000 hapo nile, nilipe kodi afu mnataka nitumie pombe standard nyie mna matatizo sio bure nitaishi na huohuo uchafu kikubwa stimu
 
Manineh!...Kumaa mweyewe
Halafu wewe shoga ama msagaji...umekaa shoga si shoga msagaji si msagaji, lipicha limekaa kama lishoga ama lisagaji la mwendokasi ...ndio mana unatetea haya...itakua mkisagana ama kufirana mnanyweshana haya mapombe
 
Back
Top Bottom