KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wote mnaosagia kunguni hizi pombe zetu WOTE MIKUN** unywe bia,unywe wine,unywe konyagi ,unywe Hanson choice,unywe tzee,unywe brutal and so on kama huzingatii kanuni za afya hakuna atakayesalimika,kinachowaponza ndugu zangu wanaotumia hizo pombe ni kwamba hawali chakula ndio maana wanadhurika afya,tofauti na mtu mwenye uwezo anayekunywa bia ni lazima na hela ya chakula awe nayo.NIMEKUNYWA NA NINAENDELEA KUNYWA HIZO POMBE KWA MIAKA 15 SASA NA SIJAWAHI KUPATA SHIDA YOYOTE na niko strong kama chuma,Kwa sababu nazingatia kanuni Za unywaji ULE USHIBE KWANZA ndipo unywe pombe.Acheni kuharibu biashara za watu kutokana na umaskini wa raia wenu,niamini mimi,anayepata madhara kutokana na hizo pombe ni kwamba hazingatii mlo
 
Basi Vijana wakigida huo uchafu na kulanduka vibaya, wanajiona wamepatia kabisaa, Lol
Boda boda ndio Vilevi vyao hivyo, Lol
 
Vile hampendi masikini afurahie maisha yaani kipato changu per day ni 10000 hapo nile, nilipe kodi afu mnataka nitumie pombe standard nyie mna matatizo sio bure nitaishi na huohuo uchafu kikubwa stimu
Wachaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 3583096

Hizi pombe za 'bei poa' zinazidi kuumiza vijana bila wao kujijua na Serikali kupitia TRA wameridhia (zina sticker) mradi wanapata kodi yao.

Madhara yanayochochewa na unywaji wa pombe hizi ambazo nahisi hazijakidhi vigezo ni makubwa huko mbeleni.

Serikali inayoangalia zaidi mapato na si usalama wa raia wake inatia mashaka.

Soma pia:
1) KERO - Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa

2) KERO - Pombe kuuzwa kwenye maduka ya vyakula mtaani imekuwa tishio, inachochea ongezeko la vijana walevi

3) KERO - Serikali imeamua vijana wafe kwa Pombe kali kwa kuweka KODI
Umeongea pointi
 
Unakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula.

Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga.

Weka na K Vant pia hapo
😂😂 Anyway rudisha Jaack Sparrow
 
ningekuwa na mamlaka ningepiga marufuku uzalishaji na uingizaji wa pombe zote aina ya spirit zina haribu vijana jaman wanavimba mashavu hadi huruma na kuvimba huko sijui ndio dalili ya ini kuungua jaman serikal iingilie kati tunazika kila kukicha vijana wanaisha ukiwatazama kama vibabu vyenye miaka 90
Sigara zenyewe zimeandikwa hatari ila wanazalisha tuuu
 

Attachments

  • Screenshot_20260511-154705.jpg
    Screenshot_20260511-154705.jpg
    56.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom