KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna huu mzigo wenyewe wanakuambia
VIBE LA CHAP!!!
20260503_095430.jpg
 
View attachment 3583096

Hizi pombe za 'bei poa' zinazidi kuumiza vijana bila wao kujijua na Serikali kupitia TRA wameridhia (zina sticker) mradi wanapata kodi yao.

Madhara yanayochochewa na unywaji wa pombe hizi ambazo nahisi hazijakidhi vigezo ni makubwa huko mbeleni.

Serikali inayoangalia zaidi mapato na si usalama wa raia wake inatia mashaka.

Soma pia:
1) KERO - Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa

2) KERO - Pombe kuuzwa kwenye maduka ya vyakula mtaani imekuwa tishio, inachochea ongezeko la vijana walevi

3) KERO - Serikali imeamua vijana wafe kwa Pombe kali kwa kuweka KODI
Genge la Raia feki wakimtumia kibaraka wao mtiifu Kikwete ndiyo wanazitumia hizo pombe kuhalibu kizazi cha wabantu kwa kuweka chemicals hatarishi kwenye baadhi ya nyakati ..kumbukeni misri ilikuwa ya watu weusi ila kwa sasa ni waarabu tupu...ROSTAM AZIZI NI MTU HATARI SANA NA GENGE LAKE LA MAUAJI
 
View attachment 3583096

Hizi pombe za 'bei poa' zinazidi kuumiza vijana bila wao kujijua na Serikali kupitia TRA wameridhia (zina sticker) mradi wanapata kodi yao.

Madhara yanayochochewa na unywaji wa pombe hizi ambazo nahisi hazijakidhi vigezo ni makubwa huko mbeleni.

Serikali inayoangalia zaidi mapato na si usalama wa raia wake inatia mashaka.

Soma pia:
1) KERO - Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa

2) KERO - Pombe kuuzwa kwenye maduka ya vyakula mtaani imekuwa tishio, inachochea ongezeko la vijana walevi

3) KERO - Serikali imeamua vijana wafe kwa Pombe kali kwa kuweka KODI
Energy drink ni mbaya zaidi
 
Unakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula.

Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga.

Weka na K Vant pia hapo
Upo sahihi mkuu, utakunywaje pombe ipo kwenye kopo ya plastic? Si afadhali wanywe uji tu😁.
 
Nawapongeza TBL wameanza kwa uthubutu!

Wanywaji wengi hawatumii pombe kama starehe... Wanakunywa ili kulewaa.. na ndio maana wanakimbilia hizi pombe cheap.

Ni wakati Sasa watengenezaji wa bia wakaja na bia mpya zenye kiwango Cha juu Zaidi Cha kilevi. Mtu apige chupa mbili za bia akalale... Tupunguze watumiaji wa hizi spirit feki.

IMG-20260405-WA0016.jpeg
 
ongezea kisifa ita pombe chafu

Waliopendekeza TRA iitwe TRS walipatia sana wao wanaangalia gvt imekusanya kodiyao
 
Back
Top Bottom