Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

Ukiandamana beba maji na uhakikishe una elfu ishirini madogo wamesema
Watafanya nini? Waandamanaji wanatafuta silaha maana Oktoba 29 walikosa silaha tu. Hao watoto ambao hata afya zao mbovumbovu watazuia nini?
 
Nilivyoona video nikasikitika but sishangai ninaye rafiki yangu tulishibana sana utotoni japo now nimepunguza ukaribu nae sio kama zamani hasa nilipomsikia anasema ni ngumu kwa mwanajeshi kusaliti kwasababu wao wanaapa kuilinda nchi na kumtii rais full stop.
 
Watafanya nini? Waandamanaji wanatafuta silaha maana Oktoba 29 walikosa silaha tu. Hao watoto ambao hata afya zao mbovumbovu watazuia nini?
Utapata silaha za kuwazidi Polisi na JW? Acha kuvuta sigara Kali
 
Waandamanaji wanatafuta silaha maana Oktoba 29 walikosa silaha tu.

Naona umechoka kula ugali huo


1789678296223.png

1789678318270.png

1789679334821.png
 
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.

Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.

Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao wanaweza kupopolewa mawe na kukimbia hovyo sio suluhu.
kwamba vijana wasifundishwe ukakamavu, stadi za kazi na maisha ila wafundishwe kuombaomba kuchangiwa pesa kama hawa jamaa wavivu wa kazi wenye tabia ya kuomba kuchangiwa pesa za kujikimu?🐒
 

Attachments

  • 20260711_201740.jpg
    20260711_201740.jpg
    39.3 KB · Views: 10
umesahau wale vijana wa jkt kipindi cha magu nadhan wakiotaka kuandamaba au ulikuwa unapigwa katelero hukupata hiyo taarifa
Kutaka kuandamana ndio kitu gani, unaweza ukataka chochote kile shida nikukipata, hawawezi kuandamana sababu zote za kuandamana zinavunjwa JKT
 
Kwani wao ni nani....who are they? Hawa ni genzii tu kama genzii wengine na ni watoto wetu. Huwezi tishwa na kinyago ulichochonga mwenyewe.
Asikusumbue huyu bwege.
 
Kutaka kuandamana ndio kitu gani, unaweza ukataka chochote kile shida nikukipata, hawawezi kuandamana sababu zote za kuandamana zinavunjwa JKT
Muwe mnakaa kimya sio kudakia mambo yaliyo nje ya uwezo wenu.
 
Bila kazi za kufanya kwa vijana. Ni bure kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom