Nunua simu ya kuelewekaVideo iko wapi
Yote utafanya ila kuandamana huwezi… Hata hivyo kwenye msafara wa Mamba na Kenge wapoWewe ni mpuuzi kwamba jkt ndio nn, watu tumesnda na tumerudi na akili zetu hatujawa mazombi Kama hwa
Utapata silaha za kuwazidi Polisi na JW? Acha kuvuta sigara KaliWatafanya nini? Waandamanaji wanatafuta silaha maana Oktoba 29 walikosa silaha tu. Hao watoto ambao hata afya zao mbovumbovu watazuia nini?
Waandamanaji wanatafuta silaha maana Oktoba 29 walikosa silaha tu.
kwamba vijana wasifundishwe ukakamavu, stadi za kazi na maisha ila wafundishwe kuombaomba kuchangiwa pesa kama hawa jamaa wavivu wa kazi wenye tabia ya kuomba kuchangiwa pesa za kujikimu?🐒Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.
Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.
Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao wanaweza kupopolewa mawe na kukimbia hovyo sio suluhu.
Waandamanaji wanatafuta silaha maana Oktoba 29 walikosa silaha tu
Kwani wao ni nani....who are they? Hawa ni genzii tu kama genzii wengine na ni watoto wetu. Huwezi tishwa na kinyago ulichochonga mwenyewe.Ukiandamana beba maji na uhakikishe una elfu ishirini madogo wamesema
umesahau wale vijana wa jkt kipindi cha magu nadhan wakiotaka kuandamaba au ulikuwa unapigwa katelero hukupata hiyo taarifaYote utafanya ila kuandamana huwezi… Hata hivyo kwenye msafara wa Mamba na Kenge wapo
Zamani ndo ilikuwa compulsory.Taja moja lililokuwa na compulsory military service
Kutaka kuandamana ndio kitu gani, unaweza ukataka chochote kile shida nikukipata, hawawezi kuandamana sababu zote za kuandamana zinavunjwa JKTumesahau wale vijana wa jkt kipindi cha magu nadhan wakiotaka kuandamaba au ulikuwa unapigwa katelero hukupata hiyo taarifa
Fata ushauri ukiandamana beba majiMuwe mnakaa kimya sio kudakia mambo yaliyo nje ya uwezo wenu.