Kama taifa letu linahitaji maridhiano. CCM wameidhulumu nini CHADEMA? Maridhiano sio ngonjera

Kama taifa letu linahitaji maridhiano. CCM wameidhulumu nini CHADEMA? Maridhiano sio ngonjera

Someni alama za nyakati!
... nchi hii hailazimiki kuwa na maridhiano na CHADEMA!
1785811489704.png
... ENOUGH?
 
Maridhiano ni kufanya na watanzania, waliouliwa ndugu zao, na wasema waliko waficha na walihusika kuua wachukuliwe hatua hayo ndio maridhiano, CHADEMA hawahusiki kwenye hili eneo kabisa
 
CCM mnahubiri juu ya reconcilliation. Kwa kizungu ni maridhiano.

Maridhiano hufanyika baadsa ya pande mmoja kudhulumu pande nyingine. Hass kwa kufanya mauaji na utekaji kama kule Afrika ya kusini.

Kwa hapa Tanzania CCM wanataka maridhiano kwa sababu zipi?
Tukazike kwanza.....wako wapi hao ?
 
Back
Top Bottom