Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
HTTr87IXsAELh5u.jpg


Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa.

Wakazi hao wanadai kuwa mradi huo wenye thamani ya shilingi trilioni mbili za Kenya [TZS trilioni 40] unahatarisha kuwatoa katika makazi yao bila kuwepo kwa mpango wa kuwapatia makazi mapya au fidia.
 
Back
Top Bottom