MRADI WA MAJI MTO RUVUMA WAFIKIA ASILIMIA 97.6 YA UTEKELEZAJI

MRADI WA MAJI MTO RUVUMA WAFIKIA ASILIMIA 97.6 YA UTEKELEZAJI

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
ChatGPT Image Sep 29, 2026, 02_25_29 PM.png



Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026.

Mradi huo utazalisha lita milioni 5 za maji, na unatarajiwa kunufaisha wakazi 82,000, huku ukiongeza upatikanaji wa maji kutoka asilimia 51 hadi 100.

Awamu ya kwanza itanufaisha vijiji 14 na Mji wa Mangaka, pamoja na maeneo yatakayopitiwa na bomba kuu la Masuguru–Mangaka
 
Back
Top Bottom