viwanja

  1. emmarki

    Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, inauza viwanja

    Karibuni kisiwa cha mafia, kuwekeza kwenye utalii na uchumi wa buluu. Mafia inakua sana, kuwa sehemu ya ukuaji wake
  2. Waufukweni

    DOKEZO Wanaotangaza kuuza Viwanja kwenye Vituo vya Daladala na spika zao walipie kodi ili iboreshe vituo vya hivyo

    Wakuu Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
  3. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Wewe mkazi wa Dodoma au popote ulipo, kama umekuwa ukiota kumiliki kiwanja Dodoma, sasa ndoto yako inaweza kutimia! Tunakupa fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu na chenye thamani. Wekeza leo kwa faida ya sasa na baadaye. Viwanja Vinavyopatikana: 1. Kiwanja Karibu na Hospitali ya...
  4. Roving Journalist

    ACT: Kutumia Tsh. Bilioni 27.8 kurekebisha Viwanja vya Amani na Gombani ni matumizi mabaya ya fedha

    ACT Wazalendo, kupitia taarifa yetu kwa umma ya tarehe: 08/11/2024, tuliitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka, hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ambavyo vimetangaazwa kufungwa ili kufanyiwa matengenezo, kutokana na taarifa yetu hiyo, Wizara ya Habari...
  5. E

    Kampuni ipi bora inayouza viwanja dar es salaam

    Salaam Mwenye uzoefu na kampuni inayouza viwanja, anisaidie Yapo ninayoyajua ila ujanja mwingi Karibuni
  6. FRANCIS DA DON

    Taratibu za kuhamisha hati miliki za viwanja ni ndefu, ngumu na ghali mno, inaleta mianya ya rushwa manispaa, TRA na Ardhi

    Nimegundua sasa ni kwanini watu wananunua viwanja kisha wanaendelea kutumia hati zenye majina ya watu wengine bila kubadilisha majina. 1.) Hivi inakuwaje mtu anunue kiwanja milioni 50 kisha report ya valuation iseme kwamba kina thamani ya 200mil.?! Kama kweli kinathamani hiyo kwanini mtu auze...
  7. JanguKamaJangu

    Balozi Ujerumani kushuhudia michezo Jumuishi kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Novemba 25, 2024

    BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Kibaha Mkoani Pwani. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi wa Special Olympics...
  8. K

    Mwanza: Uzinduzi wa Nyama Choma Festival kwenye Viwanja vya Nyamhongolo

    Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma. === Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amezindua tamasha la Ilemela nyama choma litakalokuwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge, PIC Yaridhishwa na Uwekezaji wa Serikali Viwanja vya Ndege Nchini

    KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Ujenzi wa Viwanja vya Ndege nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam 15...
  10. The Burning Spear

    Sijawahi kuvielewa Viwanja vya futi 50 x40 kwa ajili ya makazi

    Ndugu wanabodi. Kuna utitiri wa uuzaji wa viwanja vidogo sana kwa bei inayoanzia laki nane mpaka milions kadhaa. Nikipiga hesabu futi 50 kwa 40 hapo utajenga nini. Au tunaenda kutengeneza vingunguti nyingine. Ushauri wangu kama huna hela ambayo unaweza kupata robo au nusu heka.hapa mjini kwa...
  11. M

    Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  12. The Burning Spear

    Inakuwaje Matangazo barabarani ya kuuza viwanja yapo Dar Tu?

    Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake. Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu haupo wakati huku mkoani watu wanapata maeneo makubwa zaidi tena kwa bei nafuu siyo hio 20x20 . Mili 6.
  13. ndege JOHN

    Hivi kweli serikali inashindwa kutenga billion 20 kuweka carpet viwanja vyote mikoa yote

    Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu. Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
  14. E

    Plot4Sale Tunauza Viwanja Kibamba na Kiluvya

    Tunauza viwanja kibamba na kiluvya 1. Kibamba shule mita 20x20 > Tsh 12 2. Kiluvya kwa komba 20x20>Tsh 10 3. Kiluvya kwa sumaye 20×20 > Tsh 8 4. Kibaha maili moja sheli 20x20>Tsh 6 Piga simu 0699 243938
  15. fogoh2

    Naombe location viwanja vya Tabora vya kula bata

    Wanajamvi nipo Tabora Muda huu ,ndio mara yangu ya kwanza ,kwa wenyeji wa huku nipe location ya viwanja vilivyochangamka vyenye watoto wakali ,Sina usingizi kabisa
  16. Aliko Musa

    Jifunze nguvu ya Sera ya Serikali inavyopaisha bei ya viwanja na mashamba hapa Tanzania

    Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council) Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na majukumu tofauti. Tofauti kati yao inahusiana zaidi na ukubwa wa mji, uwezo wa kifedha, na huduma...
  17. Stephano Mgendanyi

    Halmashauri Mkipima Viwanja "Road Reserve" Hatulipi Fidia - Bashungwa

    HALMASHAURI MKIPIMA VIWANJA ‘ROAD RESERVE’ HATULIPI FIDIA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali haitalipa fidia kwa wananchi ambao wamepimiwa viwanja na Halmashauri katika maeneo ya Hifadhi za Barabara zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria kwa ajili ya kuendeleza...
  18. Aliko Musa

    Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  19. Robert S Gulenga

    Simba na Yanga mpaka sasa kutokuwa na Viwanja vyao vyenye hadhi ya Kimataifa? Tatizo ni TFF, Sera au?

    Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla. Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita. Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
  20. Kidagaa kimemwozea

    Viwanja Bora vya mpira wa miguu Afrika

    Top 15 best stadiums in Africa 1)-FNB Stadium: Located in Johannesburg, South Africa 🇿🇦, this stadium has a capacity of 94,736 and is the largest stadium in Africa. It hosted the 2010 FIFA World Cup final between Spain and the Netherlands 2)- New Administrative Capital Stadium: Situated in...
Back
Top Bottom