Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa...
Wana Arusha kuanzia Babati Karatu Monduli Namanga Mto wa Mbu, Usa River Ngaramtoni Mnakaribishwa kesho kwenye viwanja vya NMC RELINI kuanzia saa nne asubuhi. Rais Mtarajiwa Mwanasheria Nguli Barani Afrika na Mpigania Haki TUNDU LISSU pamoja na kipenzi cha Wana Arusha Mbunge G LEMA (Sauti ya...
Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja
JIJI la Mwanza linatuhumiwa kudhurumu viwanja vya familia ya Marehemu Hassan Seif, Mkazi wa Nera wilayani Nyamagana mkoani Mwanza vilivyomilikiwa na familia hiuo tangu mwaka 1984.
Viwanja vilivyochukuliwa na Jiji na kuviuza kwa watu...
CCM haiwezi kuinua Michezo nchini Kama itaendelea na sera yake ya kuvishikilia viwanja vya Michezo nchini na bila kuvifanyia matengenezo makubwa.
Inasikitisha Sana wadau wa Michezo kuhusu hili kwasababu Michezo haina chama.
Viwanja vinachangia timu zetu kuwa kichwa Cha mwendawazimu.
Wapenda...
Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3 nyingine umalizie ndani ya muda tutakao kubaliana
Vimepimwa na vina hati ukilipa cash unapata hati...
Uswahilini mnakokukimbia ni wapi? Inawezekekana mnakimbia kushirikiana jiko, choo na bafu kwanye nyumba ya kupanga lakini hata Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa Kopa Kinondoni Shamba kuna nyumba self contained na gate kabisa mlangoni, ukiingia na gari yako hakuna mtu anaejua maisha yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.