viwanja

  1. Dr. Zaganza

    Plot4Sale Viwanja Vinauzwa Kibaha, kilomita moja toka Morogoro Road, Bei Nafuu

    Mji mpya umeanzishwa ,mkabala na halmashauri mpya ya Kibaha ( Mlandizi),Nyuma ya kiwanda cha Kiluwa Steel. viwanja vipo kilomita 1.9 toka Morogoro road. Kiwanja Cha sqm 1,200 (mita 40 kwa mita 30) kinauzwa milioni 3 tu. Piga 0713039875 kwa maelezo zaidi Vimebaki viwanja 6 kwa wiki hii. Ofa...
  2. Shing Yui

    Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

    Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi. Akizungumza leo Jumamosi Desemba 19, mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliamu Lukuvi...
  3. J

    Tusipobadili mfumo wa Elimu, kila mwaka tutajenga madarasa hadi viwanja viishe!

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo. Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu. Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae...
  4. Black Thought

    Ni sababu ipi hupelekea watu kujenga bila ramani au kwa ramani za kukopi kutoka kwa watu wengine?

    Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao. Hebu fikiria umetumia milioni...
  5. Intelligence Justice

    Waziri Ardhi na maendeleo ya makazi, Upimaji Viwanja wa MKURABITA Uangaziwe jicho sasa

    Wakuu, Hili ni bandiko la manung'uniko kuhusu Mkurabita upimaji viwanja na mchakato wa kupata hati. Wananchi wengi waliojengwa au kuuziwa viwanja kwenye maeneo ambayo yalikuwa bado kupimwa na serikali wanalalamika, wengine wamelipia ada ya shilingi 310,000/= tangu 2016, 2017 hadi leo hakuna...
  6. ivanmark714

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa kisemvule Dar es Salaam

    Tunauza viwanja vya makazi vyenye miundombinu yote muhimu ya kijamii umeme maji barabara viwanja vina ukubwa wa feet 40×50 viwanja vipo Kisemvule mbele kidogo baada ya mbagala rangi 3. Vipo vya bei tofauti tofauti kuanzia laki 8 mill 1 mill 1.5 na kuendelea....unaweza kulipia kwa awamu hati ni...
  7. mrangi

    Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    ok ngojaa tukuchekie mkuu
  8. SEASON 5

    Msaada kwa wenye viwanja mjini DAR, ninahitaji kununua eneo

    Ndugu zangu maisha haya kuna wakati inatakiwa mtu ukubali tu kuna waliokutangulia na ujishushe uombe msaada wao na ndicho ninachokifanya hapa kwenu ndugu zangu, nimejitahidi katika kuhangaika na maisha huku na kule vibarua na viajira nimepata kiasi cha 1M nimekuja kwenu ndugu zangu wenye viwanja...
  9. Papaa Mobimba

    Serikali yakopa Tsh. Bilioni 136.85 kwa ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege ili viwe na kiwango cha Kimataifa

    Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni 136.85. Akizindua ujenzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na...
  10. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

    Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli. Karibuni nyote. Rip Mwalimu Nyerere Up dates; DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE Katibu Mkuu...
  11. M

    Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
  12. N'yadikwa

    Nashauri serikali itilie maanani mchezo wa Long Jump naamini tutaweza na ijenge viwanja vya mazoezi

    Wakati nikikua mchezo wa kuruka kwa upondo na ule wa kuruka kawaida sambamba na mchezo wa kurusha mkuki na vitu vizito ilikuwa inafanyika na watu walikuwa wanafanya vizuri. Ukizingatia kwamba Wakenya tayari wamejitambulisha kwa mchezo wa riadha; sisi hapa kwetu Tanzania bado hatujakuwa na...
  13. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Kyela: CCM yateketezwa bila huruma, viwanja inavyohutubia CHADEMA vyazidiwa na umati wa watu

    Mara nyingi tumeandika humu kuhusu mwisho halisi wa CCM jimbo la Kyela tukiwa na vielelezo kamili visivyo na shaka yoyote lakini tulipuuzwa , sasa ni dhahiri mwisho huo umetimia Pichani ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema kutoka Kanda ya Nyasa Mh Joseph Mbilinyi akiongoza mashambulizi kwenye...
  14. MK254

    Viwanja tisa (9) vya michezo ndani ya miezi mitatu ijayo, Rais Uhuru usiwe unatuzuga mzeiya

    Nilitaka niwe na mashaka na hizi habari, ila nikiwaza kwamba rais yupo kwenye muhula wa mwisho wa awamu yake, maana kwamba hana sababu za kutuhadaa, amesema tayari pesa zimeshatolewa kwamba tutegemee viwanja tisa kukarabatiwa, tuko papa hapa wapambe wa rais kama mnapita humu tunavisubiri kwa...
  15. P

    House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Kimanga

    NYUMBA INAUZWA TABATA KIMANGA Nyumba ina sebule, jiko, mahala pa kulia chakula, Choo na bafu la jumuiya, vyumba viwili na master bedroom kimoja pia nyumba ina nyongeza ya chumba vya nje. Kiwanja kina ukubwa wa 500 sqm Kiwanja kina ofa na kimepimwa BEI 50 million (negotiable) Mawasiliano...
  16. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, Boniface Jacob kuzindua kampeni Viwanja vya Las Vegas, Mahakama ya Ndizi

    Hii ndio habari iliyozagaa mitaa yote ya jimbo la Ubungo, kwamba yule mwamba wa siasa za Ubungo ambaye pia ni Meya mstaafu, yule aliyewekewa pingamizi la kizushi, leo anaanza rasmi amsha amsha.
  17. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  18. M

    Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

    WanaJF Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma. Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu Tayari Kuna pilikapilika kubwa...
  19. Masokotz

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

    Habari za wakati huu, Kwa wale wanaohitaji kununua Viwanja,Mashamba na Nyumba Katika wilaya ya Kigamboni kwa Gharama nafuu wakati ndio huu: Viwanja vyenye ukubwa tofauti vipo MBUTU,GEZAULOLE,DEGE,CHEKA,MWONGOZO,KIMBIJI,PEMBA MNAZI etc Bei ni kama ifuatavyo: Mbutu,Kuanzia TZS Mili 3.5 ukubwa...
  20. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
Back
Top Bottom