OK HII HAIJAWAHI KUTOKEA, NI OFA BABU KUBWAA
FUNGA MWAKA KWA KUMILIKI KIWANJA CHA MAKAZI KWA BEI NAFUU. Karibu kwenye mradi wetu mpya wa viwanja kwa bei ya LAKI SABA TU (700,000/=). Hii ni bei kwa wateja watakaolipia kwa Cash. Na LAKI NANE TU (800,000/=) kwa wateja watakaolipia kwa installment...
Viwanja viko vitatu.
vyote vina hati za serikali
umbali ni km 1 kutoka lami.
size ni sqr m 600 kila kimoja
(30m*20m)
Eneo lina umeme
Bei ni 25mil
0713096076
Pata viwanja kwa bei nafuu eneo la Kibaha madafu na mbezi mzalendo njia ya malamba.
Eneo lenye urefu wa 56 meter kwa 43 na mapana ya meter 19 umbali wa dakika 20 kwa miguu toka morogoro road. Kwa bei ya shilingi milioni mbili na laki tano tu . Vilevile Kuna eneo lingine hapo happy Lina urefu wa...
1.Ule uwanja unaotumiwa na dodoma jiji.Ni aibu sana yaani uwanja upo katikati ya jiji lakini una nyasi kavu na kutimka vumbi.
2.Karume-Mara, huu uwanja hata kuchezea ligi daraja la kwanza haufai ni kama vile huwa wanalima mpunga hapo.
Orodhesha vingine.
Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi.
serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane...
Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC
HITIMISHO
1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina 😀😀
2. Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game...
Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule.
-Ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana.
-Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana.
-Neighbourhood yake...
Kuweka record sawa!
Vile viwanja vilivyokuwa haviuziki kwa sababu ya migogoro utawala wa jpm, sasa vimeanza kuwa dili tena awamu ya sita!.
Double allocation imeanza kurudi tena!
Nashauri Inchi yetu ipitishe sheria ya kunyonga watumishi wa umma/hususani Ardhi wanaosaini na kuidhisha hati Mara...
Kiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado.
______
Update
Njoo ulipie 15mil badala ya 22mil
Picha yake
Kiwanja cha pili kipo Vikonje baada ya kutoka Ihumwa barabara ya Chamwino kina ukubwa wa 40*40 hiki...
Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo.
Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
Habari wadau!
Hali sasa imekuwa mbaya sana, wananchi wamekuwa wakitapeliwa maeneo yao kupitia hawa wawekezaji ambao kipindi cha JK walisumbua sana lakini alipoingia madarakani Magufuli walijificha kama hawapo na wakatelekeza maeneo yao kama hawayajui.
Ndio Rais Samia Hassan ameruhusu...
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.
Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma.
Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji safi tiririka.
Dkt. Sichalwe...
apartment
bagamoyo
bei
biashara
eneo
fuso
gari
heka
inauzwa
ist
kawawa
kibamba
kibiashara
kilimanjaro
kinauzwa
kiwanja
kiwanja kinauzwa
kuagiza
kuagiza gari
madale
magari
mbezi
mbezi beach
mkopo
n.k
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kupangisha
plot
shamba
subaru
toyota
uwekezaji
viwanja
yanauzwa
zinauzwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.