viwanja

  1. K

    Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
  2. K

    Tunaomba turudishiwe fedha zetu za maombi kutokana na ugawaji wa viwanja kwa upendeleo jijini Mwanza

    Ni masikitiko makubwa kuona upendeleo wa dhahiri wa ugawaji wa viwanja katika Jiji la Mwanza. Wote tulitangaziwa kuomba viwanja hivyo kwa ada ya Tshs.20,000 kwa kila kiwanja lakini cha kusikitisha waliopata viwanja ni vigogo ambao hata hawakufika kuchukua fomu na kuzijaza. Hivi ni kweli mtu...
  3. JanguKamaJangu

    Wananchi Mwanza walalamika vigogo kupendelewa viwanja

    Baadhi ya wananchi walioomba kuuziwa viwanja eneo la Luchelele na Isamilo, jijini Mwanza, wamelalamika kukosa viwanja hivyo na kudai viongozi wa serikali na wabunge kuviwahi. Halmashauri ya Jiji la Mwanza ilitangaza kuuza viwanja hivyo na kuwataka wanaovitaka kuchukua fomu kuanzia Juni 2 hadi...
  4. Lycaon pictus

    Kutoza watu pesa kuingia viwanja vya Sabasaba na Nanenane haijakaa sawa

    Kwanini wakulima na wafanyabiashara watozwe pesa kuingia kuangalia mambo siku ya sikukuu zao? Mbona wafanyakazi hawatozwi pesa kuingia viwanjani siku ya Mei mosi? Waandaaji watafute namna ya kupata pesa lakini siyo kuchaji wakulima na wafanyabiashara. Ni utapeli.
  5. E

    Wanaojua viwanja vya basketball Dar es Salaam

    Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu Nipo kigamboni vijibweni
  6. E

    Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu Nipo kigamboni vijibweni
  7. kavulata

    CCM kuhodhi viwanja vya michezo kunarudisha nyuma juhudi za Rais Samia

    Mama Samia ni Rais ambae ilikuwa kama kuota ndoto ya mchana kumpata. Mpaka sasa Mama huyu amedhihirisha kufanya mengi ambayo watangulizi wake hawakuyawaza wala kuyaota. Ana bahati sana kwenye kipindi chake timu ya mpira wa miguu ya wanawake kufuzu kwenda kushiriki kombe la wanawake huko India...
  8. Mag3

    Ukweli mchungu: CCM haikutupora viwanja tu, CCM imetupora wananchi uhuru wetu, haki na usawa!

    Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha. Rais ni zao la chama hicho na anaingia madarakani baada ya kuwaridhisha waporaji wenzake ndani ya chama hicho kuwa atalinda na...
  9. Mystery

    Bunge letu linawezaje kuidhinisha pesa ya walipa kodi wote wa nchi hii waweze kuvikarabati viwanja vya CCM?

    Tulimsikia Waziri wa Sanaa na Michezo wa nchi hii, Mohamed Mchengerwa, Katika kusoma bajeti yake ya mwaka huu, kuwa analiomba Bunge hilo liweze kuidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 10, kwa ajili ya kuvikarabati viwanja hivyo vya CCM, ambavyo alidai kuwa vipo Katika Hali mbaya Ikumbukwe kuwa...
  10. Q

    CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema; "Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma." "CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
  11. Nyankurungu2020

    Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

    Complete violation of the constitution of URT. 👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga
  12. J

    DC JOKATE: Viwanja vya michezo vya Kisasa kujengwa Temeke Mwembe Yanga

    Ujenzi wa kituo cha Michezo cha Kisasa kuanza kujengwa katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke - DC Jokate Mwegelo
  13. Lycaon pictus

    CCM wanauhalali wa kujimilikisha viwanja vya sabasaba?

    Eti wandugu, chama cha mapinduzi wana uhalali wa kumiliki viwanja vya sabasaba?
  14. Black Thought

    Unaweza kujenga “Apartment” yenye nyumba tano kwa mchanganuo huu

    Habari wakuu. Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo) Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita) Tofali za Boma = 5015 Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc Nime’attach picha yenye...
  15. Sky Eclat

    Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

    Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo. Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi. Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
  16. T

    Plot4Sale Viwanja bei nafuu vinauzwa Arusha

    Maeneo yanauzwa maji ya chai Bei ni milioni 5 kwa 20×20 milioni 7 kwa 30×20 milioni 4 kwa 10×20 umeme na maji vipo manthari Ni nzuri na kuvutia majirani wameshahamia barabara zinapitika wakati wote Umbali wa maeneo Ni km 28 kutokea Arusha mjini na km 25 kutokea KIA airport viwanja sio vya...
  17. C

    Plot4Sale Viwanja Bunju km 1 kutoka barabarani & nyumba kwa mnada

    Karibu MUDU COMPANY LTD tunauza Nyumba na viwanja maeneo mabalimbali dar kwa mnada.#contact 07676055856.mfano tuna huu Uwanja upo BUNJU B BEI 30M 1529 Square meter
  18. C

    House4Sale Viwanja na nyumba za wadaiwa akiba Commercial Bank zinauzwa kwa mnada

    HABARI Karibu MUDU COMPANY LTD Located at Mbezi Beach samaki wabichi house 2nd floor Ni kampuni ya debt collection ,auctions and real estates tunauza. Nyumba na viwanja mbalimbali Maeneo tofauti ndani ya Dar kwa mnada kwa idhini ya benki ya Akiba Commercial Benki na Kibali Cha Mkuu wa...
  19. Lanlady

    Ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi na kutoza kodi ya viwanja na nyumba. Je, wananchi wameandaliwa?

    Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
  20. Lord denning

    Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii Jambo la kusikitisha...
Back
Top Bottom