Umeshajiuliza waliowahi kupata viwanja kariakoo Sasa Wanaishi kama wafalme, mnaziona zile slums ambazo zipo Buguruni, Manzese zote ni hela ndefu jaribu kumuamisha mtu uone bei utakayo pewa.
Jiji la Dar es Salaam kama vile limeshajaa tu, Ukiwa na kipato kidogo jiandae kujenga kibaha kwa Mathias...
Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa.
Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es Salaam?
Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjua mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile.
Updates:
Well, kinachoendelea sasa ni kuiua Gymkhana kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mbinu inayotumika ni tozo ya kutumia facility kwa...
Kamishna Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anawatangazia wanachi kuwa wamiliki wa viwanja na mashamba kwenye orodha hii milki zao zimebatilishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi No. 4 Sura ya 113 kwa amri ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 3 na 8 Agost 2022...
NILIVYOMKOMESHA TAPELI WA VIWANJA KIVULE
Habari zenu wadau wa JF!
Leo nami nimeonelea niwasimulie kisa changu jinsi nilivyomkomesha tapeli maarufu wa viwanja maeneo ya Kivule ajulikanaye kama Juma Kasangu,mnamo mwaka 2014 mwanzoni nikiwa katika harakati zangu za kutaka kujipatia eneo...
Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo
US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's meeting with President Zelensky ahead of the one-year mark of Putin’s full-scale invasion of Ukraine...
Usikae tu home na vijiwe viisvyo maana.
Hata kama sio Mlevi, Toka nenda Kiwanja ambacho unajua wastaarabu wanakaa.
Huko ukutane na RC, DC, RAS, DAS, DED na Ma CEO mbalimbali. Hawa watu typically ni Walevi, ni wanywaji Pombe haswaa, nahuko Niko wanakutana kupeana michongo.
Sio lazima unywe...
PROF.LIPUMBA
Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi)
CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini
Mkutano mkuu wa hadhara
Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia Prof. Lipumba.
Usipange kukosa njoo tuisimamishe Kinondoni...
Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk.
Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja...
Nataka kumtahadharisha mama yangu Mpendwa Mama Dk Angelina Mabula.
Amekaa hapo Wizara ya Ardhi kwa muda mrefu sasa lakini hajui kuwa kuna kakundi au genge la wezi na waporaji wa viwanja.
Suala linaanzia hapo kwa Msajili wa Hati. Mafaili ya viwanja yanapotezwa na kuna nyakati mafaili yanakuwa...
Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
*Mapinga- Viwanja vya makazi!
Ukubwa wa sqm 500, viko km1.5 kutoka barabara ya lami. Vimepimwa tayari kwa ufuatiliaji wa umiliki kisheria.
Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo. Kumejengeka TAYARI
Bei Tsh: 10M
Lipia hadi miezi mitatu!
Mawasiliano : 0753288167
PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo
Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;-
✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
👉 Viwanja Kigamboni Kimbiji
👉 Mashamba tambalale
Kwa ufupi.
Eneo la ekari 3.5 beach area
Lipo mkoa wa pwani Kisiju
Karibia na bandari ya Kisiju
Kituo ni Sotele
Km 87 kutoka City Center DSM
Bei ni milioni 12. (Negotiable)
+255746 474849
Update**
Heka zaidi ya 100 zinauzwa kisiju wilaya ya...
Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni.
Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;-
✓ Taarifa za nakala za umiliki wa ardhi au umiliki wa nyumba.
✓ Taarifa za usalama wa mazingira ya kiwanja au nyumba.
✓...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.