viwanja

  1. Wakili wa shetani

    Sadio Mane amejenga uwanja kijijini kwao. Utopolo na makolo wanashindwa nini kuwa na viwanja?

  2. sonofobia

    Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

    Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara. Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection. Wenyeji nipeni suggestion ya places nzuri.
  3. Unique Flower

    Viwanja vizuri kikatiti

    Kwa wapendwa wote wanaopenda viwanja katiti tunavyo 20 kwa 15 kwa ml 3.5 karibuni wote pigeni 0699-22-79-42 Karibuni Wote xmass hiyo na punguzo la bei ukitaka eneo mahali Arusha to boma call me
  4. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Viwanja vya Ndege Nchini

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
  5. FaizaFoxy

    Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

    Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja nao Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya mazayuni kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa...
  6. Aliko Musa

    Kanuni 50 Za Kukusaidia Kutengeneza Fedha Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo. Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya...
  7. Erythrocyte

    Rais Samia awataka TFF wakarabati viwanja kwa kuwa wao ndio wanapokea mapato ya viwanja hivyo

    Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje? Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja...
  8. Unique Flower

    Plot4Sale Viwanja na mashamba

    Karibuni wateja wetu viwanja na mashamba Arusha , tunamaji ya chai kikatiti , king'ori na East Africa. Viwanja ni vya bei nafuu. Unaweza kununua au kulipa kwa awamu. Ila kuna kiwanja muungano kiseriani kinauzaa ml 3 ni 25 urefu upana ni 10 nikizuri kwa kujenga kina punguzo ya laki moja tu...
  9. Aliko Musa

    Jinsi Ya Kutega Bahati Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    “Generally, real estate is cyclical. You have to buy in a way that lets you afford the cycles. And you have to know where you are in the cycle.” Charles Brown Kukaa na kusubiri soko ya ardhi na nyumba ziwe vizuri, ni kujipotezea muda wako wa thamani. Wala huwezi kupiga hatua kwa kusubiri...
  10. Unique Flower

    Plot4Sale Viwanja na Makazi Arusha

    Wapendwa wateja tunavyo viwanja na heka maeneo yafuatayo. Kikatiti , Maji ya Chai, King'ori . Viwanja vya king'ori vinaanza kwa ml 4.5. Kikatiti viwanja vinaanza ml 4. Maji ya chai ni ml 7 mpaka ml 16, . Ila tunaweza tafuta ya bajeti yako pia Nipigie 0699227942 karibuni wote.
  11. Unique Flower

    Viwanja kikatiti/

    Tunaviwanja kikatiti . Bei zake kuna heka 2 wanauza ml 37 mazungumzo yapo, km 1.5 kufikia hapo kwenye heka, Heka moja ml 16 ipo km 1 . Kwa mawasiliano zaidi kuhusu viwanja simu namba 0699-22-79-42 kumiliki ardhi ni silaha ya kulala kwa raha . KARIBUNI WATEJA
  12. TUKANA UONE

    Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

    Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya zaidi hadi wanaume watu wazima utawakuta nao wamejifunga kibwebwe wanakata mauno bila aibu wala soni...
  13. F

    Gharama za viwanja Tabata - Chang'ombe zikoje

    Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
  14. Magari ya Biashara

    Plot4Sale Mradi wa viwanja Vikawe Center Kibaha

    Habari Mpendwa!!, Steam Generation Recovery & Real Estate Ltd Tunapenda kukujulisha kuwa Kwa Sasa tunamradi Mpya wa Viwanja vya makazi Mradi wetu upo Kibaha - Vikawe 𝗩𝗜𝗞𝗔𝗪𝗘 𝗖𝗘𝗡𝗧𝗘𝗥 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗠𝗥𝗔𝗗𝗜 𝗪𝗘𝗧𝗨 𝗨𝗟𝗜𝗣𝗢. 𝗡𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗩𝗬𝗘𝗧𝗨 𝗩𝗬𝗢𝗧𝗘 𝗩𝗜𝗠𝗘𝗣𝗜𝗠𝗪𝗔 𝗨mbali kutoka 𝗕arabara ya 𝗕agamoyo ni 𝗞m6 tu na 𝗞utoka...
  15. Gomiki Marketing Agency

    Plot4Sale Ofa ya viwanja

    Pata kiwanja Fukayosi Bagamoyo kwa Cash Tsh 1500 kwa Sqm 1 na mkopo Tsh 2000 kwa Sqm Muda wa mkopo ni miezi sita Malipo ya awali 20% Mfano ukichukua kiwanja chenye sqm 500 ukalipa kwa Cash bei yake ni Tsh 750,000/= tu ila ukichukua kwa Mkopo ni Tsh 1,000,000/= ambapo mwanzoni utalipa asilimia 20...
  16. tzhosts

    Nyumba na Viwanja Vinauzwa-Kigamboni

    Habari za Wakati Huu Je unahitaji Nyumba,Viwanja,Mashamba n.k. Ndani ya Kigamboni katika maeneno ya Vijibweni,Kibada,Kisota,Gezaulole,Cheka,Kimbiji,Mbutu na Maeneo ya Jirani na Hayo? Usisite kuwasiliana nasi kwa SIMU namba +255757323060.Kwa wakati huu vifuatavyo vipo sokoni:
  17. Unique Flower

    Tunauza mashamba viwanja Arusha, Boma, Kiteto

    Karibuni wateja wetu , Tunayo mashamba na viwanja maeneo yafuatayo , Kiteto tunayo mashamba kwa bei nafuu inaanza laki saba mpaka ml 1 na laki moja , hayapo mbali na mji huduma zote zakijamii zinapatikana. Zipo za kijijini ni laki 4 tu. Pi kuna viwanja vipo arusha, boma kwa bei nafuu unalipia...
  18. Mhaya

    Nchi ambazo hazina Viwanja vya Ndege

    Sisi wahaya ni watu ambao ndio makabila ya mwanzo kuanza kuvuka border, ni watu tuliwahi kupata exposure mapema, ukibisha basi nenda Vatican umuulize Pope ni kabila gani kutoka Tanzania ambalo kila siku makadinali wake wanaongoza kuongia Vatican utaambiwa ni wahaya, Juzi kati tu Papa kamuapisha...
  19. Majok majok

    Bodi ya Ligi muwe makini na wakaguzi wenu wa viwanja; kuna harufu ya rushwa

    Najiuliza maswali mengi juu ya wakaguzi wa viwanja vinavyatumika kwenye michezo ya LIGI kuu, sielewi uwa wanatumia vigezo Gani kuruhusu matumzi ya viwanja husika Mfano mdogo ni kuruhusiwa kutumika kwa uwanja wa CCM kambarage mjini shinyanga baada ya kukaguliwa na hao wakaguzi na kuwaruhusu jkt...
  20. Yesu Anakuja

    viwanja vya Dodoma & Arusha vijengwe kwa AFCON

    Naishauri serikali ijenge viwanja hivi haraka iwezekanavyo, kwa ajili ya kugombania michezo ya AFCON 2027. Kenya wanajenga viwanja vyao vizuri sana na kuna uwezekano michezo mingi ikachezwa kule kama hatutachangamka. Dodoma wajenge uwanja hata wa watu 30,000 tu, na Arusha 30,000. tukimaliza...
Back
Top Bottom