Habari kuna OFA ya viwanja kibada mwera ni km3 kutoka kibada round about!
Bei sqm 1 Tsh 25,000 cash
Sqm 1 Tsh 30,000 Mkopo(miez18)
Mawasiliano 0746853161
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia...
Ukiacha viwanja vikubwa vinavyojulikana kama Mkapa Stadium na Azam Complex, Kwakweli huu uwanja wa Majaliwa licha ya kuwa mkoani lakini una muonekano mzuri sana na standard hususan kwa vilabu vidogo vya mikoani zinazoshiriki ligi kuu.Ni aibu kwa baadhi ya timu tena kongwe kama JKT kutumia uwanja...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge...
TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania bado kwa kiasi kikubwa hakuwa na vigezo vyote na athari yake sasa ndiyo hii kusababisha mechi...
wakuu
Nimekusanya nguvu kidogo nipo njiani kuja jiji la Chalamila
Huku Mbeya nimezoea kuburudika kwa bia na watoto wenye mizigo ya haja hapa mbeya pazuri yaani tunakesha amna kama popo full watoto mziki na bia unajistarehesha na pesa zako
Sasa nakuja huko, naombeni mnipe kiwanja kitakachonipa...
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800.
Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa.
PIA SOMA
-...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Naibu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anawakaribisha Wabunge na Wananchi katika Wiki ya Nishati itakayofanyika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 15, Aprili 2024 hadi tarehe 19 Aprili 2024.
Hii ni fursa kwa Wabunge na Wananchi kufahamu utekelezaji wa Sera ya...
Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji.
Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
WanaJF kamwene
Nawapa tu angalizo wale mnaopenda kununua viwanja kiholela kuweni waangalifu sana na viwanja vya Bagamoyo
Kuna eneo kubwa limetengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari na Export zone na wenyeji Wengi wameshalipwa fidia
Kerege, Zinga, Kondo, Mlingotini, Kiromo na sehemu ndogo ya...
Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku.
Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
Habari ndugu mtanzania mwenzangu.
Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi.
Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :-
👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba
👉🏿Upimaji wa ardhi
👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo
👉🏿Urasimishaji
Na kwa maeneo...
VIWANJA VYA NDEGE VITANO VIMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA.
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea.
Waziri Bashungwa...
TAARIFA KWA UMMA
KUFUNGA KWA MUDA KWA AERODROMES
Hii ni kuwafahamisha waendeshaji wa ndege katika Hifadhi za Taifa na Umma kwa ujumla kuwa kutokana na sababu za kiutendaji, viwanja vya ndege vifuatavyo vimefungwa kwa muda hadi tarehe 20 Mei 2024 (Serengeti Kusini), 1 Julai 2024 (Lobo) na 1...
Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.
====
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
Makombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka moto ili kuweza kuwachoma wanamgambo wa Ukraine walijificha kwenye mapango
[🖼 Telegram channel...
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City
7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya.
8. Meeda Night Club...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.