Timu ya Manchester United imeendelea kuwa na msimu mbaya baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Leeds United, ikiwa imeshinda mchezo mmoja tu kati ya 8 iliyopita ya michuano yote.
Matokeo hayo yanazidi kumuweka Kocha United, Michael Carrrick katika hatari ya kufukuzwa, kwani hadi sasa timu yake imezidiwa pointi 14 na Manchester City ambayo inashika nafasi ya kwanza katika Premie League.