Hizbu Sharifu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 480
- 978
Je umewahi kujiuliza kwanini kuna baadhi ya watu ni wapambanaji na ni wahangaikaji katika maisha na hawakosei mahala katika mapambano yao ila hawafanikiwi siku zote wanakua watu wa chini, ila kuna wengine ni wavivu na wasiopenda kujishughulisha ila wanamaisha mazuri na hawakosi wanachohitaji katika maisha yao?
HAKUNA ANAEFANIKIWA KATIKA UTAJIRI, CHEO, UMAARUFU, NA ELIMU BILA KUA NA NGUVU KUBWA YA KIROHO
Tunapokuja duniani wote hua na nguvu sawa za kiroho ila hubadilika kulingana na mienendo ya maisha ambayo tumepitia
Kila mtu huongezeka nguvu za kiroho kulingana na mapito mbali mbali kama ifuatavyo
-Radhi za wazazi, baadhi maisha yao hua mazuri kwa kuapata baraka kutoka kwa wazazi
-matambiko ya asili, Kuna baadhi hufanyiwa matambiko ya asili na hufanikiwa katika maisha yao
-Matendo binafsi, kuna wengine jinsi matendo yao yalivyo huwapa baraka na mafanikio katika maisha
-Ibada kuna wengine hupata baraka ya maisha kwa kupendwa sanna na mungu kutokana na kujikurubisha kwake
-Viumbe wa kiroho kuna wengine hutunukiwa tu na kua na viumbe wa kiroho ambao huwasaidia katika maisha yao kua mazuri
NA KINYUME CHAKE NI SAHIHI KWAMBA UNAWEZA UKAPATA MIKWAMO KATIKA MAISHA YAKO SABABU YA HIVYO
unaweza kukosa maisha mazuri kisa kudharaunmatambiko ya kwenu , kisa matendo yako , kisa ibada kisa viumbe wa kiroho, kisa radhi za wazazi
Unaweza ukawa na maisha mazuri ila ghafla yakabadilika ni kweli hubadilika sababau hio, na unaweza ukawa na maisha ambayo si mazuri ghafla ukabadilika na kua mazuri Inawezekana maisha yakawa mazuri kwa kila kitu afya, mali , upendo, cheo, elimu, na mengi ila yawezekana ukakosa kimoja wapo au ukakosa vyote
Hivyo ni muhimu sanna kuzingatia umuhimu wa kujiimarisha katika nguvu za kiroho kwa nafasi ambayo unayo.
Asanteni