Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba)
Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya
1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊
Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu.
Hii kazi mungu ni samahee
Ndugu zangu Watanzania,
Napata Raha na Furaha kubwa sana Napomuona Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania katika Hali hii ya Ushupavu ukakamavu uimara Uhodari tabasamu na morali na Ari ya kazi .
Mama Yetu Mpendwa yupo Imara kimwili na kiakili . Yupo Tayari kuendelea na...
◇Ni inayotokana na msisitizo wa uteuzi wa wasaidizi wake
◇Ndejembi akomaa kila fursa inayojitokeza, wasikosekane
◇Alianza na mafunzo kwa vitendo, kampuni zao, sasa kwenye gesi
Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya.
Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
Maamuzi ni moja ya funguo za msingi sana katika maisha. Kama mtu akiniuliza swali juu ya kutafuta mabadiliko nitamwambia kwamba ni kheri akatafuta njia ya kufanya maamuzi.....
Matokeo yako ya sasa yanatokana na aina ya maamuzi ambayo uliyafanya jana.....
Jumatatu ya leo nipo kukumbusha...
Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa.
Moods futen na hii mana Ile ya kuwasha feni wakat wa kuchota maji Kwenye kisima mmefuta lalek
Je umewahi kujiuliza kwanini kuna baadhi ya watu ni wapambanaji na ni wahangaikaji katika maisha na hawakosei mahala katika mapambano yao ila hawafanikiwi siku zote wanakua watu wa chini, ila kuna wengine ni wavivu na wasiopenda kujishughulisha ila wanamaisha mazuri na hawakosi wanachohitaji...
Katika hali sio ya kawaida zipo dalili za wazi kabisa Taifa langu Tanzania lina pita ktk nyakati ngumu ktk usalama wake. Yes
Utabiri unaonyesha Taifa langu Tanzania chini ya idara zake wasipo kuwa imara nakusimamia tunu za TAIFA. BASI ni dhahiri Taifa hilo litapita nyakati ngumu na hii ni...
Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya.
Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
Mwaka 1953, Pyongyang ilikuwa mrundikano wa majivu na kifusi. Marekani ilikuwa imedondosha tani elfu kadhaa za mabomu hivi kwamba hakukubaki hata jengo moja refu lililokuwa salama.
Leo, taifa hilo lililowekewa vikwazo vikali zaidi duniani si tu kwamba linatengeneza makombora ya nyuklia, bali...
Habari za wakati huu ndugu zangu wana-jukwaa.
Katika mada iliyopita, tulijadili misingi ya kistaarabu ya kutatua migogoro na umuhimu wa kuzuia maneno ya dharau. Leo tunaongezea nguzo nyingine muhimu sana ambayo ndiyo nguzo kuu inayoshikilia ustawi na maisha marefu ya ndoa yoyote iliyofanikiwa...
Makala ya Pili:
Nguvu ya Mke:
Jinsi Heshima na Utii Vinavyoijenga na Kulinda Ndoa
Katika ulimwengu wa ndoa, kama ambavyo mume anapaswa kuwa mboreshaji mkuu, ndivyo ambavyo mke anasimama kama mlinzi mkuu wa ngome ya nyumba.
Mwanamke ana nguvu kubwa sana ya kiakili na...
Je,
ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi?
Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
bado
edward
hayati
hukumu
kabla
kisiasa
kiuchumi
korokoroni
kuomba
lowasa
mpinzani
mtuhumiwa
muda
nguvu
ni kwanini
siku
tanzania
tena
uhaini
ulimwenguni
ushawishi
wana
watuhumiwa
watuhumiwa wa uhaini
zao
DODOMA
Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na viwango vya ujenzi nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa.
Kutokana na hilo,
huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.