Kuna vijana ambao tayari wamepigwa za uso na kukosa imani na kijana wa mizimu Bw. Chief, lakini pia kuna ambao hawajui ukweli kuhusu kujiunga nao.
Hii yote ni vijana kutaka mafanikio makubwa ya haraka. Ila ukosefu wa akili ya kujiuliza maswali ndo unachangia 🤦🏾
Mfano:
1. Mtu anakuambia njoo...
Hellow Afrika!!
Afrika na wanae wanapitishwa tena katika moto Ili kuwasaidia kurudi kuijenga Africa Yao tena,
Ni kama tu tai, akitaka kumfunza kifaranga chake kuruka, huondoa nyasi Ili miiba Imchome aruke na kuanza safari ya kujitegemea.
Wazungu wanatoka ulaya kuja kufanya KILIMO na kufungua...
Naam naam naam nimerydi tena wadau
Majuzi hapa mwana jf mwenzetu Jordy05 alileta kisa chake cha jinsi iula tunda kimasihara kulivyobadili mustakabali wa maisha yake mazima / forever of course kaongelea mengi sana mule ndani ila point kubwa niliyo note ni kwamba huyu jamaa nguvu zake za kiume ndo...
Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,,
Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa.
Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya,
Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
KUWA MMBEA UTATAKIWA :
1.Uwe na habari nyingi za watu ( za kweli au uongo)
2.Ujuane na watu wengi
3.Uwe na salio la kutosha kwenye simu
4.Uwe na nguvu ya kuongea kwa muda mrefu.
5.Usiwe na hasira za haraka pale ukiwekwa mtu kati kusutwa😊
SIFA HIZO ZA MMBEA NYINGI NI SIFA ZA MFANYABIASHARA...
Katika hii Dunia Jambo lililo Bora ni kua na Nguvu Kiuchumi, au Kuna Free Economical, hili swala ltakufanya uwe huru na Kuishi kwa Amani sana.
Nguvu ya Kiuchumi ni Bora katika Maisha.
Watu walio Wengi wanaishi kwa mashaka kwa sababu ya uchumi ila unapokua huru kiuchumi mambo yanakua safi kabisa.
Najiona kwenda kuangukia kwenye ugonjwa wa moyo kutokana na changamoto za huyu mwanamke. Nimekosea sana kupuuzia baadhi ya mambo kipindi cha uchumba nikidhan atabadilika.
Anamatumizi mabaya ya hela.
mvivu
anakiburi
ukimuelekeza anaona anaonewa
Kuna muda hadi nawaza huenda uwezo wake wa akili...
May all souls find enlightenment,
Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya...
Mashindano ya kutafuta Malkia wa Nguvu Duniani. Yatafanyika Sydney, Australia tarehe 29/03/2025. Katika ukumbi wa Sydney International Convention and Exhibition Centre. Tuwape support.
***Kwa wanaotaka kuhudhuria punde utaratibu (viza, malazi na nauli) utatolewa
Wakuu!
Huu ni ushauri wa kuilinda pesa yako na sio simulizi za 'Chuma Ulete'.
Pesa ina nguvu, hapa nitazungumza na wale wote wanaotaka kuimiliki pesa. Pesa ninayoizungumzia zaidi hapa ni pesa ya Sarafu (Coin) ambayo inatumika katika maluweluwe mengi sana.
Pesa ya Karatasi au Noti...
Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually)
Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu...
Wasalaam
Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla.
Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea...
==
Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta...
Habar wakuu nimeoa ndoa ya miaka 12
Nina kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime inasimama ila dhaifu mno hofu imekua kubwa sana.
Pia nina ugonjwa wa thyroids hyperthyroidsm nimeidhibiti...
Habari Wakuu!
January hii imeanza na mambo mengi lakini Mpaka sasa kwa humu JF kuna mambo Makuu mawili yaliyovuta usikivu wa wengi, Jambo la Kwanza ni Uchaguzi wa CHADEMA, na lile la Pili, ni Kitabu cha Kabendera.
Kwanza nikiri, Sina hicho kitabu, hivyo sijakisoma. Lakini kupitia utangulizi...
SEKONDARI INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU (Januari 2025)
Kijiji cha Muhoji kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa kijiji hicho kwenda masomoni kwenye Sekondari ya Kata iliyoko Kijijini Masinono - umbali wa zaidi ya...
Wakati tupo katika mwanzo wa mwaka mpya 2025, kuna haja muhimu ya kutazama uhusiano kati ya China na Marekani, ambao ni moja kati ya uhusiano muhimu sana wa pande mbili duniani kwa sasa. Kwa ujumla, mwaka jana uhusiano huo umeendelea kuwa wa utulivu. Nchi hizi mbili zimefuata mwongozo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.