matokeo

  1. Wakusoma 12

    Yanga wakiclick button ya answer kujua matokeo yao na Al hilal calculator unasema Math error. Nini maana yake?

    Wakuu mambo ni magumu sana utopoloni moja haikai. Najua wakifungwa calculator inazima.
  2. Dogoli kinyamkela

    Fahamu matokeo ya meditation

    Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
  3. muafi

    Matokeo yoyote ya Uwenyekiti CHADEMA, Hayatamnufaisha Mbowe, ni wakati sahihi wa yeye kujitoa kulinda heshima yake!

    Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe, Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa bao la mkono au vyovyote vile basi Chama kitapoteza ushawishi sana kwa wananchi na wanachama wa...
  4. Davidmmarista

    Tujadili Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne Yaliyo Tangazwa Jana

    Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto...
  5. Even MOre

    MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa. 1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika...
  6. Malaika wa Misukosuko

    Haya ndo yatakuwa Matokeo ya leo na kesho ya mechi za CAF: Constantine vs Bravos(Bravos atashinda), Yanga vs TP Mazembe(Mazembe atashinda)

    Habarini, Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025. (Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos atashinda) (Leo): Yanga vs Tp mazembe (Tp mazembe atashinda) (Leo): Orlando pirates vs stade abidjan...
  7. Greatest Of All Time

    Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  8. A

    DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  9. L

    Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  10. F

    Unadhani ni matokeo yapi ya Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA yatakuwa na tija kwa chama na Taifa?

    Mimi ningependa Lissu ashinde ingawa simuungi mkono. Sababu zangu ni hizi: 1. Ushindi wake utaondoa dhana ya CDM kuwa ya mtu mmoja ambayo sio kweli 2. Najua Mbowe atakubali matokeo na kumpongeza mshindani wake. Hii itamuongezea yeye na chama chake sifa ya kuwa kweli ni cha kidemokrasia. Aidha...
  11. Yesu Anakuja

    NECTA wanataka tulipie matokeo ya darasa la nne 2024 au why hawaweki mtandaoni?

    Kumbe matokeo yametoka, ila necta hawataki kuweka kwenye mtandao wao? shida nini? au kwa sababu shule za private zinawazidi? mtaburuza sana mkia.
  12. SYLLOGIST!

    Naibu Waziri Deus Sangu aonyeshe mfano-aanze kupima afya ya akili yake kwanza na atuletee matokeo yake/mrejesho

    Mada Inajieleza. Mh. Deus Sangu bado ni kijana? Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
  13. K

    Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  14. BLACK MOVEMENT

    Tangazo la Wizara ya Ardhi la Rais kutwaa ardhi Dar ni matokeo ya Mipango miji ya kisiasa. Nchi haileweki wala haina plan za miaka hata 20 ijayo

    Wakati wenzetu wakiwa na plan za miaka 100 ijayo Bongo tuna plan za wiki 5 zijazo. Nchi ina plani za kisiasa na ziko Surported na wajinga hili Taifa la Tanzania. Tanzania kuna plan za wiki chache mbele, kila mara ni Bomoa hiki weka hiki, badili hiki weka hiki. Mfano Chukulia ujenzi wa kituo...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Kilichotokea jana usiku kwa watumishi wa TRA ni matokeo ya serikali kushindwa kudhibiti rushwa na ufisadi kwenye utumishi wa umma

    Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako busy kutafuta pesa. Mmoja wa watumishi wa TRA ambaye kafariki ninafahamiana naye kiasi cha kuweza...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  17. Mhafidhina07

    Pre GE2025 Matokeo ya uchaguzi yanatoa taswira gani katika uchaguzi wa 2025?

    Hakuna ubishi kuwa trending ya matokeo ya hivi karibuni inaonesha CCM inashinda kwa kishindo kikubwa,kwa mwenendo huu inawezekana kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani hali ikaendelea hivi hivi lakini kuna athari kubwa ya matokeo yanayotengenezwa. Hata kama upinzani umeanguka sio kwa kasi...
  18. GenuineMan

    LGE2024 Haya Matokeo ya Uchaguzi Mnayaelewa?

    Habari wakuu. Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo. Nimeangalia naona kama namba sizielewi. Labda nyie mnisaidie Hiyo
  19. S

    LGE2024 Matokeo ya uchaguzi - Wapinzani wameshinda wapi?

    Naona kimya kingi. Sijaona hata sehemu moja wapinzani wameshinda. Naomba mwenye matokeo please... Hapo ulipo wewe chama gani kimeshinda?
  20. Roving Journalist

    LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza maeneo mengi ikifuatiwa na CHADEMA

    Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya mitaa Jijini Mwanza yameanza kutangazwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionesha kuongoza kwenye vituo vingi Wilayani Nyamagana. Aidha, licha ya baadhi ya Mitaa Wilayani Nyamagana na kushuhudiwa Wagombea wa CCM wakitangazwa kuongozwa Kwa...
Back
Top Bottom