matokeo

  1. Roving Journalist

    Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

    Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi. Utafiti huo mpya...
  2. comte

    Makarani wa sensa kuoneokana kutoonekana kwenye kaya ni matokeo ya mawasiliano yasiyo kamilifu kutoka kwa serikali

    Sielewi ni nani alitufanya tuamini kuwa sensa ni zoezi la siku moja ( 23.08.2022) mpaka ikafanywa kuwa siku ya mapumziko.
  3. 666 chata

    Kenya 2022 Raila Odinga afungua kesi Mahakama ya Juu Kupinga matokeo ya Urais

    Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki electronic, na wapinzani wao, tume ya uchaguzi pamoja na bw. Ruto mwenyewe wana siku 4 za kujibu...
  4. Habibu hamadi haji

    SoC02 Matokeo ya Kidato cha Nne lazima yachunguzwe

    UTANGULIZI. Ni miaka mingi sasa, kuna ukakasi katika mfanano wa Matokeo ya Kidato cha Nne na Sita, Licha ya kuwepo mfanano huo kuna Utofauti wa Matokeo hayo baina ya Skuli na Skuli, wilaya na wilaya, Mkoa na mkoa hata katika ngazi ya Taifa ambapo kuna baadhi ya Skuli zinaonekana kung'ra huku...
  5. Fukua

    Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni matusi na jeuri

    Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wa kulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama tozo mara nchi yetu...
  6. Fukua

    Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

    Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu...
  7. Championship

    Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  8. BARD AI

    Kenya 2022 Raila Odinga: Tulieni, tunafungua kesi kupinga Matokeo ya Urais

    Raila Odinga amewataka wafuasi wake kuwa na amani wakati chama hicho kikijiandaa kuwasilisha Mahakama Kuu ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 9 Akizungumza kwenye makazi yake huko Karen leo baada ya kutembelewa na viongozi wa kidini, Odinga ameshikilia msimamo wake...
  9. N

    Natabiri matokeo ya Simba vs Geita gold yatauwa (6-0)

    Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7 Haijajulikana kilichosababisha simba waonyeshe mpira mzuri na wenye kasi kama walivyofanya leo na bado haiujulikani kama wata maintain kiwango...
  10. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Umoja wa Ulaya watoa wito wa Suluhu ya Amani kufuatia Sitofahamu ya Matokeo ya Urais

    Baada ya Raila Odinga kukataa Matokeo ya Kura ya Urais, Umoja wa Ulaya (EU), umetoa wito wa kusuluhishwa kwa mzozo huo kwa amani na kuwasihi viongozi wote wa kisiasa kuepuka ghasia Taarifa iliyotolewa na Mwakilishi wa Umoja huo, Joseph Borrel imependekeza mzozo unaoendelea na wasiwasi wowote...
  11. Zanzibar-ASP

    Kenya 2022 MAHESABU YA KURA: Kumbe elimu ya Kenya ipo chini sana na upeo wa wakenya upo chini mnoo!

    Kituko kikubwa cha karne kuhusu hesabu leo kimeonekana huko Kenya baada ya makamishina wanne wa tume ya uchaguzi waliotangaza kujitoa kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya urais kuja na hoja finyu za ukilaza wa mahesabu. Mbali na sababu zingine walizozitoa, kubwa lilikuwa ni wao kujenga hoja...
  12. The Sheriff

    Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  13. J

    Kenya 2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

    Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo? Ni uongo kwa sababu hizi Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC Kisha hizo fomu...
  14. Nobunaga

    Kenya 2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
  15. BARD AI

    Kenya 2022 Tume ya Maridhiano yataka atakayeshindwa Urais Kenya kukubali matokeo

    Tume ya Taifa Maridhiano, NCIC imetoa wito kwa Mgombea yeyote wa kiti cha Urais atakayeshindwa baaada ya Matokeo kutangazwa, kukubali na kawasiliana na Mshindi ili kupata amani Mwenyekiti wa NCIC, Samuel Kobia amesema leo kuwa Uchaguzi ulikuwa wa amani, na kuongeza kuwa Wagombea wote wawili...
  16. BARD AI

    Kenya 2022 Hizi hapa sababu za kuchelewa matokeo ya Urais Kenya

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imetoa ufafanuzi kuhusu sababu za kuchelewa kutoa Matokeo pamoja masuala mengine yanayolalamikiwa na hatua inazochukua Tume imesema kwasasa inafanyia kazi masuala yafuatayo:- 1. Uthibitishaji wa picha ya Matokeo ya Fomu 34A dhidi ya Fomu 34B 2...
  17. Uhakika Bro

    SoC02 Kwa sababu 1 + 1 = 3 na 1 + 1 + 1 ni 7; juhudi katika uelekeo sahihi ni lazima

    Naam, moja ongeza moja ni tatu. Katika juhudi (effort) huwa ipo hivi; zikiunganishwa jitihada zaidi ya moja, matokeo yake huwa ni makubwa kuliko ile jumla yake ya kihesabu tu. Uliwahi kutokea ubishi huko Ulaya ya karne hizo. Wamiliki wa farasi walibishana kuhusu nini kitatokea endapo farasi...
  18. M

    Kenya 2022 Huu uwazi wa uchaguzi wa Kenya ni mageuzi makubwa sana! Kila mtu duniani anaweza kudownload matokeo na kujijumlishia

    Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
  19. Daby

    Kenya 2022 Kwanini vyombo vya habari nchini Kenya vimeacha kuonesha matokeo ya urais?

    Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa kuelewa shida nini maana tumekuwa tunafuatilia kwa urahisi. Sasa, Shida ni nini? Ni kweli mtandao...
Back
Top Bottom