matokeo

  1. Msanii

    Panya Road: Matokeo ya maamuzi mabovu ya viongozi

    Wakati wa utawala wa Awamu ya Tano tulishuhudia kupungua kwa wimbi la uhalifu nchini lakini pia tuliona ongezeko la vijana kwenye sekta ya ujasiriamali na shughuli halali za kujiingizia kipato. Baada ya kuanza kwa Awamu ya Sita, kipaumbele cha kwanza kilikuwa ni kuwazuia na kuwaondoa...
  2. Chief Ortambo Ikumenye

    Mliofanya interview DUCE kuna aliyepata matokeo?

    Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote. Sasa hatujui kama tumefaulu au tumefeli na siku ya oral pia ni leo. Nilichoamua asubuhi hii ni kwenda moja kwa moja Duce nikapate...
  3. Satisfy

    Mwenye kujua mbegu bora ya hoho yenye matokeo mazuri dhidi ya tatizo la kinyaushi

    Wakuu habari. Naombeni msaada anayeijua mbegu bora ya hoho inayoweza kabiliana na tatizo la kinyaushi. Aise ili tatizo limekuwa changamoto sana kwa baadhi ya mazao ya mbogamboga. Ikiwezekana taja jina la mbegu na bei yake kulingana na gram Nitashukru sana nikipata huo msaada
  4. SAYVILLE

    Nataka kuappeal matokeo yangu ya A-Level ya zaidi ya miaka 10 iliyopita

    Ndugu wana jamii wa Jamii Forums, naombeni ushauri wenu katika hili. Nilipokuwa A-Level nilikuwa nina matatizo fulani shuleni na matokeo ya form 6 yalipotoka sikupata matokeo mazuri na naamini mpaka leo kuwa kuna kamchezo kalifanyika. Hili jambo limekuwa linaniuma sana kwa sababu naona kama...
  5. Pascal Mayalla

    EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
  6. Lady Whistledown

    Angola: Mahakama yatupilia mbali madai ya Upinzani ya kupinga matokeo ya Urais

    Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili Mahakama imesema malalamiko ya UNITA hayakukidhi matakwa ya kuruhusu chombo hicho cha kisheria...
  7. BARD AI

    Jaji Othman Chande: Hakuna sababu ya Matokeo ya Urais kutopingwa Mahakamani

    Jaji amesema nchi haitapungukiwa chochote ikiwa itaruhusu watu binafsi na wagombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani. Ameongeza kuwa "ukishasema kwenye Katiba kwamba Mahakama ndiyo Mamlaka ya mwisho ya Kisheria, basi mzozo wowote unapaswa kufika kwenye Mamlaka hiyo ya mwisho ya kisheria"...
  8. M

    Mashabiki na wanachama wa Simba hawajaumizwa na matokeo bali wanaumizwa na timu inavyocheza

    Nafikiri kuna point muhimu wanayo mashabiki na wanachama wa simba nayo ni namna timu inavyoperform uwanjani. Wanachezaje, je wanakosa matokeo dhidi ya timu ya aina gani, ni hoja ya msingi sana wanayo, usajili waliofanya kmc na walioufanya simba auendani na uhalisia wakiwa uwanjani. Kufungwa...
  9. JanguKamaJangu

    Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo. Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
  10. C

    SoC02 Mfumo wetu wa elimu na matokeo kwa Taifa

    Nawasalimu wote kwa jina la taifa hili la thamani kwa kila mmoja wetu na mali yetu ambayo Mungu wetu alitubariki kuwa nayo, tunaamka kila asubuhi kulijenga hili taifa kwa nguvu zetu zote tukivuja jasho lenye chachu kubwa ya kuendeleza taifa letu. Wengi wa wananchi wa taifa hili kwa asilimia...
  11. BARD AI

    Kenya 2022 Mwanasheria Mkuu apinga madai ya Chebukati kushinikizwa kubadili Matokeo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule. Mwanasheria Mkuu pia...
  12. Lady Whistledown

    Angola: Upinzani wawasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu

    Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari Chama tawala cha MPLA - ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975 - kilitangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi huo kwa...
  13. SAYVILLE

    UDSM, mifumo yenu ya utoaji wa matokeo ni mibovu

    Nina mdogo wangu yuko UDSM analalamika jinsi kila mwaka wanavyopata usumbufu wa kujisajili katika kozi zao na kusubiria matokeo. Anasema mpaka leo matokeo ya mwisho wa mwaka hayajatoka mpaka sasa. Kwa nini kama hilo limewashinda mpaka leo, msiombe msaada kutoka vyuo rafiki vya nje ya nchi...
  14. BARD AI

    Uchaguzi Angola: Chama Tawala chashinda, Upinzani wagomea matokeo

    Chama Tawala cha Marxist People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA) kimepata ushindi wa 51.17% baada ya kura zote kuhesabiwa kikifuatiwa na National Union for the Total Independence of Angola (UNITA) kilichopata 43.95%. Kiongozi wa UNITA, Adalberto Costa Junior amekataa matokeo hayo...
  15. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Raila Odinga aahidi kuheshimu uamuzi wa Mahakama juu ya Matokeo ya Urais

    Raila Odinga amesema ana ushahidi thabiti kwamba alishinda katika kura za Urais na ana imani kwamba Mahakama ya Juu itakubali ombi lake la kutengua matokeo ya uchaguzi wa Agosti 9, ambapo William Ruto alitangazwa Mshindi kwa Kura 50.5% dhidi ya 48.8% Ameongeza kuwa ataheshimu matokeo ya uamuzi...
  16. Mpinzire

    Ikiwa Chebukati alifuatwa na Vice Chief of Defence Forces! Je, Jecha alifuatwa na nani 2015 mpaka akapindua matokeo?

    Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta...
  17. BARD AI

    Kenya: Tume na Makamishna waliokataa Matokeo watofautiana uteuzi wa Mawakili

    Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua...
  18. M

    Matokeo ya sensa

    WanaJF, Wakati tupo siku ya pili ya sensa ambapo baadhi yetu bado tunaendelea kusubiria makarani, tunafurahi viongozi wakuu wametuhakikishia kuwa wote tutafikiwa. Asante sana viongozi wetu. Nimesikia mpaka Sasa asilimia 36 ya kaya zimefikiwa ikionyesha kuwa tutafikia lengo hata kabla ya muda...
  19. Lady Whistledown

    Uchaguzi Angola: Chama Tawala chaongoza katika matokeo ya awali

    Tume ya Uchaguzi imesema kuwa Chama cha MPLA kinaongoza baada ya matokeo ya mapema ya uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika Agosti 24 Tume hiyo ilisema kuwa kutokana na theluthi moja ya kura kuhesabiwa, Chama cha Rais João Lourenço kimepata zaidi ya asilimia 60 huku Chama cha Upinzani cha...
  20. Boqin

    SI KWELI TWAWEZA yaahirisha uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, leo Agosti 25, 2022

    Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
Back
Top Bottom