Najua Tanzania kuanzia wakati wa Kikwete imekuwa kama sifa kuwa na PHD hata kama ni za kupewa, kupendelewa au kununua. Kwa wanajua elimu huwezi na ni vigumu kuweza kupata PHD ya kweli wakati wewe ni waziri. Kuna mawili kama umepata PHD yako kama waziri kwanza inawezekana hufanyi kazi yako vizuri...
Shule ya msingi ikifutiwa matokeo au ikishikiliwa (withheld) matokeo kwa kosa la uongozi wa shule kufanya udanganyifu nini kinafuata ili watoto waweze kuchaguliwa kuendelea elimu ya upili( secondary)?
~ Watarudia mitihani?
~ Watapewa muda gani kujiandaa na mitihani?
~ Kuchaguliwa shule za...
What has it to do for the life of that pupil?
Ufaulu umepanda umeshuka sijui... Wamefaulu kwa daraja sijui A, B, C, then what?
Ufaulu huu unamsaidiaje mtoto huyu kuweza kumudu mazingira yake na maisha na wazazi wake?
Na mizazi mingine iliyokosa akili... Wakati mitoto imemaliza kusoma ujinga...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka 2022. Matokeo yanaonesha watahiniwa zaidi ya Milioni 1.07 kati ya Milioni 1.34 waliofanya Mtihani ambayo sawa na asilimia 79.62 wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.
Bonyeza hapa kuona matokeo darasa la saba...
BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA) Linatarajia kutangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi leo. NECTA wametoa taarifa hizo katika kurasa zake za mitandao ya kijamii. Unaweza kuangalia matokeo hayo katika tovuti za NECTA na tovuti nyingine mtandaoni.
========
Baraza la mitihani Tanzania...
Kwa ufupi sana
Wazazi wa sasa tujitathimini!
Ukisasa umekuwa mwingi, tumejisahau!
Jukumu la malezi bora kwa watoto wetu tumeweka kando.
Vijana wa kiume wanafanya mambo ya ajabuajabu sana, nafikiri unaelewa nachokizungumza: mabinti wadogo wanafanya ya kustaajabisha!
Tusiwalaumu wala...
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu 2022. Darasa la saba walifanya mtihani wao tarehe 5 na 6 mwezi octoba. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 30 mwezi october kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa...
Mambo vipi humu jukwaani natumaini mko poa wote,
Nije kwenye swali, naomba kuuliza je? Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka huu 2022 yatakuwa yametoka ama bado?
Maana nimeingia ukurasa wa Necta balaza la mitihani hakuna kitu sana sana nimekuta ya 2019,2020,2021 basi, je yatakuwa bado,
MATOKEO YA MAISHA YA KUTAKA KUFURAHISHA WATU.
[Somo la leo 19/11/2022]
Maisha ya kutaka kufurahisha nafsi za watu wengine mara nyingi huishia katika kuumiza nafsi zetu.
Tunaweza imani na matarajio makubwa kwao wakati huo wao wanatuchukulia kwa ukawaida sana na pengine kutokuona mchango wetu...
Siyo siri tena ndani ya CCM kuna kundi linaitwa “Matokeo Chanya”
Ambalo linaundwa na viongozi waandamizi wa awamu ya tano wa Serikali na chama, Kiongozi wao Mkuu ni Kitila Mkumbo, Katibu ni Mwita Waitara akisaidiwa na Mpina na Lusinde.
Hawa wanasema ndiyo wenye Kulinda Legacy ya Mwendazake...
Wakuu najiuliza tu.
Wachungaji na mashehe mashabiki
Waumini na washiriki mashabiki.
Kwa ulaya EPL,Laliga,etc ila futiboli la kibongo linapromote uchawi na ndumba. Ndio maana Kuna Hadi benchi la kiganga maarufu kama benchi la ufundi.
Sasa ni Halali Kwa wasio na dini kuenzi tamaduni zetu za...
Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda.
Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion.
Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m = 18m
18,000,000/miaka 10 = 1,800,000
Kwa mantiki hii kila mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022...
Kuna vitu vingine vinatendeka Hadi tunashindwa kuelewa.
Helicopter iko juu halafu tuinue vichwa juu tuumie shingo na macho kutazama matokeo ya sensa.?
Hii ya leo ilikuwa unnecessary kuanzia Kukusanya watu na urushwaji wa helicopter.
Bure kabisa nakulilia Tanzania
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.
Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
Ifike pahala labda itoshe tuu kuwajua wanao tuhujua hata kama hamna kitu tunaweza kuwafanya. Nafsi zetu ziwanung'unikie tuu watalipwa mbele kwa mbele.
Najiuliza ni pesa ngapi zimetumika kuandaa hili tamasha la kuambiwa tuko mil.61? Hivi kweli hawa watawala hawajaona hata shida tu ya maji dar...
Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara.
Oktoba 26, 2022 Serikali ilitangaza uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwemo katika bonde la Ihefu wilayani Mbarali.
Uamuzi huo uliotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula ulipokewa kwa utulivu, lakini kwa hisia tofauti.
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.