Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi.
Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, Barry Otieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa...
Wakuu kwema!
Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi.
Je, humu jf tupo watu...
Je Unataka mfumo wa kuchakata matokeo kwa shule yako? Mfumo huu hapa utakusaidia kuandaa matokeo, ripoti na timetable kwa urahisi zaidi.
Unapatikana hapa, download tu na anza kutumia
ILI KUTUMIA
1. hakikisha unatumia computer yenye MS office (iwe na ms excel)
2. Fungua file kwa ku-double click...
Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne.
Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi.
Nashauri Kwa kidato cha nne...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023??
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana...
wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii.
Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.
Nionavyo mimi
1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Ukraine bila Russia kumjibu moja kwa moja.
Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi ndani ya Russia kila kona.
2: Vita inaidhoofisha Ulaya huku US iliyo mbali kabisa na Vita ikiwa na...
1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero.
2. Mahubiri mengi yamelenga...
Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka.
Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari:
Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Baraza la Mitihani NECTA ilizifutia matokeo shule kadhaa baada ya kubainika kufanyika kwa Udanganyifu kwenye mitihani ya Darasa la Saba iliyofanyika September 2021.
Na kwa kuwa Wanafunzi hawahusiki na udanganyifu huo, wana haki ya kurudia mitihani yao ili kutoathiri maendeleo yao ya Kitaaluma...
Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa.
Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote.
Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
Restoring energy system ‘impossible’ – Zelensky
Ukrainians should accept rolling blackouts as part of their lives, the president suggests
Restoring energy system ‘impossible’ – Zelensky
Ukrainians should accept rolling blackouts as part of their lives, the president suggests
FILE PHOTO...
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba shule zote zilizofutiwa matokeo iwe fundisho kwa shule zingine, na najua tayari kuna dosari katka shule hizo naomba wachukuliwe hatua kuanzia uongozi wa shule, wasimamizi, Kwani hawnatofauti na wauaji.
Taifa linapata wataalamu wasio na sifa...
Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo na kudai kuwa hawayatambui.
Makamishna hao, Juliana Cherera, Justus...
Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.