Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri.
"Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe
na wengine wanaohusika
Ninawapongeza sana viongozi wangu kwa kuwekea mkazo kilimo kiasi cha kilimo kuonekana ni ajira kwa vijana. Mipango na mikakati ya wizara ya kilimo inayobuniwa chini ya waziri Bashe inatoa...
Ngumi kwa sasa zimekuwa dili na ajira nzuri kwa mabondia.
Katika michezo ya kimataifa skendo za Match fixing ni mbaya sana kwa nchi yetu.
Mpaka ABU wameamua kutokukubaliana na maamuzi ya majaji walioko huku Tanzania, basi tufahamu ya kuwa tayari bomba linavuja na dunia imeanza kufahamu kuwa...
Ni siku nyingine tena ambapo Mabingwa wa Uganga Vipers S.C wanawakaribisha Simba S.C kwenye mchezo mwingine wa kutafuta alama tatu ili kujiweka sawa katika msimamo wa kundi C wa ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Mchezo huu utapigwa kwenye dimba la mtakatifu Maria huko Kitende nchini Uganda...
Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi.
Falsafa alizokujanazo Mbrazili toka mechi ya kwanza ni kasi, kutumia wachezaji wote, kufanya sub mapema sana akiona anakosea, ila...
Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.
Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau.
Mechi zote za kimataifa...
SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA
Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net
NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani.
Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF.
Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni...
Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote.
Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa cha mwendawazimu, tumepoteza ndugu, Jamaa na marafiki kwa sababu ya ajali ambazo pengine...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wakwanza kulia) akimwelezea Balozi wa Denmark nchini, Mette Nørgaard Dissing-Spandet (wapili kushoto) juu ya Mkakati mpya wa Miaka Mitano wa Biashara wa Benki ya CRDB wa 2023/2028 wakati ujumbe wa Benki hiyo ulipotembelea katika Ubalozi...
Kwa wale mliofanya usaili wa MDA na LGA Januari mwaka huu, matokeo yametoka, ili kuona ya kwako ingia katika akaunti ya ajira portal na angalia kwenye application zako utaona kama upo selected or not selected.
Baada ya hapo subiria tu pdf ya lini Oral lini itafanyika na wapi, mliofanikiwa...
Mara nyingi nchi za Magharibi zimekuwa zikitoa kauli ambazo haziendani na ukweli kuhusiana na ushirikiano na uhusiano kati ya China na nchi za Afrika. Nchi hizo zimekuwa zikidai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo mkubwa wa madeni, na hata kufikia kusema kuwa, China inaendeleza ukoloni mamboleo...
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
Wazazi wa watoto waliokuwa wanasoma katika shule ya sekondari Thaqaafa iliyopo wilayani Nyamagana jijini Mwanza wameandamana kudai matokeo ya watoto wao waliomaliza kidato cha nne 2022 kufuatia kuwepo kwa sintofahamu.
Wazazi hao wamesema wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana katika...
Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A.
Umri wangu ni miaka 24
Naombeni ushauri kama nikienda chuo nikasomee nini chenye fursa?
Na Kama nikienda...
Mara ya kwanza kutumia kilevi aina ya Ulanzi ilikuwa mwaka mwaka 2012 mkoani mbeya nilikuwa mwanafunzi shule X huko jijini mbeya tulitoroka usiku tukaenda na wanangu chimbo flani ivi wana wakaagiza ulanzi tukaanza kupiga mambo, mimi nilikuwa mgeni, ila kulikuwa na kautam flani, ajabu nashangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.