matokeo

  1. PAZIA 3

    Matokeo kidato cha sita na vyuo vya kati 2022/2023 haya hapa

    https://monscareers.com/necta/
  2. UMUGHAKA

    Kuongezeka kwa watu wajinga katika taifa ni matokeo ya kuzaa na mwanamke/mwanaume mjinga

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Ukweli uko hivyo na kama unadhani nakutania wewe zaa na mwanamke/mwanaume mjinga halafu matokeo utakuja kuyaona kwenye kizazi chako. Nyinyi nyote ni mashaidi,ukiona kuna familia watoto wao wamepiga hatua za kiakili na kimaendeleo basi wachunguze wazazi...
  3. BakalemwaTz

    Matokeo ya kidato cha sita 2023/2024 yanatoka lini?

    Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05...
  4. Roving Journalist

    Maafisa Biashara Nchini watakiwa kuonesha matokeo chanya

    Ujumbe huo umetolewa alisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Maafisa Biashara kutoka mikoa 10. Maafisa walioshiriki katika mafunzo hayo ni kutoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga...
  5. Lady Whistledown

    Uteuzi wa Meneja wa Maji Dodoma watenguliwa

    Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey Kabula Mbabaye, Aweso amechukua hatua hiyo kwa Mamlaka aliyonayo kupitia Sheria Na. 5 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019, kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
  6. L

    Nahitaji mchungaji mwenye upako/ miujiza ya kutosha mahali nitaona matokeo

    Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu. Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  7. 5

    Matokeo ya counteroffensive Ukraine yarejesha Kijiji Mashariki Donetsk

    Aljazeera 11 Jun 2023 Ukraine has said its troops recaptured three villages from Russian forces in its southeast, the first liberated settlements it reported since launching a counteroffensive. Soldiers hoisted the Ukrainian flag at a bombed-out building in an unverified video published on...
  8. Christopher Wallace

    Tabiri matokeo sahihi ya mechi ya fainali ya Yanga Vs Azam na ujishindie elfu tano

    Kesho ni fainali ya Azam Sports Federation kati ya Yanga Vs Azam. Tabiri matokeo sahihi ujipatie shilingi elfu 5. Mshindi atakuwa mmoja tu na wa kwanza kutabiri kwa usahihi. Mwisho wa kuweka utabiri wako ni saa 9:00 (saa tisa kamili) mchana baada ya hapo ubashiri wako hautakuwa halali. Vigezo...
  9. mrdrama

    SoC03 Matokeo ya uwajibikaji

    Uwajibikaji ni maamuzi ya kutenda kitendo kwa ufasaha na ufanisi kwa muda fasaha na kwa nia na utayali wa kufanya kitendo kwa mfano tukazungumzia swala la uwajibikaji kwenye nyanja tofauti kama vile uwajibikaji kwenye familia,uwajibakaji kwenye swala la uongozi,uwajibikaji kwenye swala la elimu...
  10. Wakili wa shetani

    Matokeo ya Simba na Coastal Union kesho Juni 9, 2023

    Kesho Coastal Union anahitaji kushinda ili aepuke kucheza playoff. Simba anahitaji sana mshambuliaji wake Ntibazonkiza awe mfungaji bora wa ligi. Basi matokeo ya kesho Coastal anashinda lakini Ntibazonkiza anafunga si chini ya goli mbili. Kwa hiyo matokeo ya kesho Coastal anashinda 3-2.
  11. Mwachiluwi

    Mwanaume alivyo katika maamuzi na maisha yake ki ujumla ni matokeo ya utamaduni

    Hellow africa Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanaume ni wabinafsi,waongo, wanyonyaji, watesaji, wababe, hawataki kusaidia kazi za nyumbani na mengine mengi Ukweli upo hivi Culture imemtengeneza mwanaume kuwa jasiri na mtoa maamuzi ya mwisho katika familia ndio maana ata kama...
  12. SAYVILLE

    Tujikumbushe: Simba walitolewa na Jwaneng Galaxy kwa matokeo ya jumla ya 3-3

    Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia wanasahau yale waliyowahi kubwabwaja. Msimu uliopita katika mashindano ya Champions League hatua ya...
  13. Christopher Wallace

    Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

    Weka ubashiri wako na ulambe elfu tano hiyo kesho, mwisho wa ubashiri ni saa 3:59 usiku wa kesho, yaani dakika 1 kabla ya mechi kuanza. Updates: 🚨🚨🚨🚨🚨 Hakuna aliyepatia, elfu tano itakuwepo tena mechi ya fainali ya Azam Sports Federation
  14. Joseverest

    FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Timu hizi...
  15. carnage21

    Je, upangaji wa matokeo bado ni changamoto ligi ya championship?

    PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC mchezo uliofanyika Mkoani Kigoma ambao Pamba kupoteza (4 - 0). Wadai wamefanyiwa uhuni, Wachezaji...
  16. Annie X6

    Naombea matokeo yabaki hivi hii timu ilinikera sana

    West ham alinipiga kimoja. Naona nae ameshapigwa naombea yabaki hivhiv ili waendelee kupumuliana. Zaidi ajitahidi draw
  17. S

    SoC03 Ni mhimu kuwa na tovuti au mfumo wa matokeo kwa shule za msingi na sekondari ili kuwarahisishia wazazi na walezi kupata wepesi wa kufuatilia maendeleo

    Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
  18. Sky Eclat

    Haya ni matokeo ya mtihani katika shule zinazozalisha wapiga kura wa CCM

  19. Infinite_Kiumeni

    Jali mchakato/ mfumo zaidi ya kuangalia matokeo tu ili uwe na maendeleo ya muda mrefu

    Matokeo yoyote yanatokana na mchakato/ mfumo fulani. Hasa matokeo yatakayokupa furaha na maendeleo kwa muda mrefu. Kujali mchakato ni kufanya kila unachotakiwa kufanya kwa muda huu bila kujali unavyojiskia, hatua inayofuata au matokeo yatakuaje. Mchakato unahitaji nguvu zako kila siku. Ukiwa...
  20. GENTAMYCINE

    Jidanganyeni tu kuwa eti hata msipopata matokeo leo mkienda Kwao South Africa mtapindua matokeo

    Marumo Gallants FC ndiyo Timu pekee ambayo ikifungwa Ugenini hata Goli 4 Kwao Afrika Kusini wana Uwezo wa Kukufunga Goli 5 na 6. Kudadadeki. Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo. ANGALIZO Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi...
Back
Top Bottom