Kitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo.
Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu.
Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi.
Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na...
Aisee hivi mbona jobless tunafanyiwa hivi. Matokeo hayatoki zaidi ya miezi tisa 9. Hii ni sawa kweli???? Au ndo watu wakikaa kwenye viti hawajali hisia za wengine. Hata kama ni kupima uvumilivu hii sasa ni too much.
Walisema baada ya wiki tatu sasa inaenda kukamilika mwaka. Na kila siku...
Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili.
Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
Kwa uelewa wangu mdogo wa boxing baada ya kuufatilia ni kwamba,
Points zinapotangazwa mfano 56 kwa 59 bila kutaja majina ni kwamba yule bondia aliyeingia mwanzo points zake ni zile zinazotajwa mwanzo na zinazotajwa mwisho ni za bondia wa mwisho kuingia. Na hata majina yanavyoandikwa kwenye tv...
Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu.
Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
Kitu kisipowekewa juhudi ya kurekebishwa huwa ni suala muda tu kinabomoka, usipoziba nyufa ukuta utabokoka
Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani, ni ngumu kukuta mwanaume atoe hata elf 3 ya maji wanayonadi ni ya miujiza...
Wakuu leo nikiwa natafakari mambo mbalimbali ya maisha nikakumbuka maisha ya shule y msingi. Zilikuwa nyakati za furaha ila pia nikahuzunika nilipowakumbuka classmates waliokuwa vizuri sana kitaaluma ila hawakubahatika kusonga mbele na kidato cha kwanza. Zilikuwa nyakati mbaya sana kwa uhaba wa...
Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi.
Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao.
Msije kusema sikuwatahadharisha.
Siku zote kocha huwa analaumiwa kwa matokeo mabaya kutokana na yeye ndie anaefundisha na kuchagua wachezaji wa kuanza kwenye kikosi. Sasa nyinyi mnaolazimisha Phiri apangwe, je, akipangwa na matokeo yakawa mabaya nani atawajibika?
Ni kawaida kwa mchezaji aliekuwa tegemeo kupoteza namba baada ya...
Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE?
Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni...
Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa...
Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini, yaani utakavyo on the fly kwa kutumia computer au simu yako ya mkononi, mfano kuweka matangazo au...
Ninaanze na:
SIASA ZA UJAMAA NA KUJITEGEMEA;
Kwa kifupi siasa hizi za ujamaa ndo nchi ilianza nazo,siasa zilisema njia kuu za uchumi ziwe mikononi mwa umma, biashara zilifanywe na serikali mfano usafirishaji KAUDO ,KAUMA, SHIRECU ,TACOSHIL na ATC etc, mashirika ya biashara mfano National...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA
Utangulizi
Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu, makazi, na shughuli za kiuchumi katika nchi. Matokeo ya sensa yanatoa taswira halisi ya hali ya taifa na...
Mwanafilosofia na mwanahistoria Niccolo Machiavelli kutoka nchini Italia aliwahi kusema " the end will justify the means" ambapo tukipeleka Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha " hata jambo baya likiwa na matokeo mazuri basi jambo hilo "morally" linakuwa ni zuri".
Kinachoangaliwa na kutazamiwa...
Leo tarehe 17 Julai, 2023 Mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yamefunguliwa Mkoani Manyara na Anna Makinda, Kamisaa na Muhamasishaji wa Sensa Tanzania, na Kuhudhuruwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, Sekretarieti ya Mkoa, Kamati ya Sensa...
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.
Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.
Kumuunga mkono Rais ni...
Wanajamimi mwenzenu macho yananiuma. Halii hii inatokana na mimi kukesha siku nzima nikitafuta mwanafunzi aliyepata A kwenye somo la English katika shule ya Pandahili.
Hii shule siku za karibuni ilikuwa na kashfa ya mwanafunzi kupotea, hata hivyo imeyabutua matokeo hayo in genera kweli kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.