Niliwahi kukaa katika taasisi moja. Kulikuwa na mazali kila siku. Chuki kutuhumiana, kuviziana na kila namna ya fyokofyoko kati ya wahusika.
Nilipozama kutafiti nikagundua chazo ni nyumbani hawa jamaa wanapotokea. Hawana amani, familia zimejaa magomvi, kufumaniana, mivurugano na taabu za kila...
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), jana Oktoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka, Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Octoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka.
Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
Habari wana JF!
Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
Polisi
Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura.
Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha...
Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!!
Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa...
Habari wanajamvi,
Inabidi tuzungumze uhalisia wanajamvi matokeo ya wanafunzi wengi wa vyuo wa miaka ya hivi karibuni yamekua duni ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya miaka 90s,80s,70s, GPA kuanzia 3.8 ni za kutafuta na tochi vyuoni haswa haswa vyuo vya umma
Moja ya sababu ni kumekua na...
Nashauri uchunguzi ufanyike kuhusu hii mechi kwani staki kuamini kuwa iliocheza ndio Yanga hii ya sasa. Timu kubwa kufungwa na timu ndogo, sio jambo la ajabu kwani mpira ni mchezo wa makosa na hivyo mkubwa ukifanya kosa, basi unaweza adhibiwa na ukapoteza mchezo.
Kwa mechi ya leo, ukiacha...
Vyuo hivyo vya kati vinafunguliwa 9/10/2023. matokeo ya mitihani bado...yaani mwanafunzi aende chuoni halafu arudi nyumbani in case he/she is discontinued
Mzazi unajiandaa lini na ada?
Rutayugwa take note of this
Ufafanuzi wa Awali:
Malipo ya Ada ya Mafunzo (Tuition Fee) ya mwanafunzi-mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu unaotolewa na serikali hulipwa kwa baada ya masuala yafuatayo kukamilika:
Chuo kuwasilisha HESLB madai (invoice) sahihi na kwa wakati;
'Invoice' sahihi ni ile yenye kiwango (amount)...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza watafiti 47 kutoka taasisi za elimu ya juu za umma na binafsi, ambao wameshinda tuzo kwa kuchapisha matokeo ya utafiti waliofanya kwenye majarida yenye hadhi ya juu kimataifa katika nyanja za afya, sayansi shirikishi, sayansi asilia na...
Wachambuzi wetu ni wadau muhimu kwenye mpira wetu, lakini Kuna wakati hawautendei haki mpira wenyewe kwasababu zisizojulikana au ushabiki wa timu.
Simba Day umati wa mashabiki ulifurika uwanja wa Mkapa kuiona timu yao. Hii ilisababisha kocha wa Simba acheze mechi ya ushindani zaidi (must win)...
Salam Wana JF,
Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo.
Hii taasisi imesababisha...
Nadhani mmeshawishiwa na wadau wa shule nyingi za sekondari ambazo hazina soko hasa kipindi hiki cha utahili wa watoto wanaotarajia kuanza form 1. Wazazi wengi tumekuwa tukiingia kwenye website ya Necta kuangalia ubora wa shule hasa matokeo ya form 4 ndipo tuamue kuchukuwa form.
Acheni hizo...
Umasikini upo wa aina nyingi unalengwa hapa ni ule wa kipato.
Umasikini ni matokeo ya akili kushindwa kubaini fursa zinazokuzunguka ili uzigeuze mtaji.
Popote penye watu Pana pesa,watu ndio soko lenyewe.
umasikini ni hali ya mtu kushindwa kuchukua pesa Toka kwa watu.Bakhresa anachukua pesa...
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.