Ukipita mitaa mingi ya mijini utakuta watoto wengi wenye uniform wakizagaa zagaa mitaani muda wa vipindi vya masomo hata saa tatu au saa nne wakiwa kwenye vituo vya daladala, sasa kama mimi ni muongo kama upo Dar utalithibitisha hili
Nimeandika Uzi huu muda muafaka ukiwa maeneo kama Mbagala au...
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
Kama tumavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka jana, Dogo amemaliza Moja ya shule za Ufundi yaani Technical School kwa matokeo yafuatayo; Div. III Pt 22
CIV - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'B'
CHEM - 'D'
BIO - 'B'
ENG SC - 'F'
B/MATH - 'D'
BLD CONSTR - 'D'
ARCH DRAUGHT - 'D'
BRI & MAS - 'D'
Shule...
Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu.
Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa asilia 90-100%
Kama nguvu ile ya kuiba uchaguzi ingetumika kwenye Kilimo kusinge kuwa na njaa wala...
Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na heshima na fani ya ualimu,garbage input gargabe out put,walimu huwa wanalaumiwa sana kwenye output...
Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana.
Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
Hello walimwengu.
Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
Back to those years, huenda vijana wa Leo hamuelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina pamoja na candidate numbers,
Ebana ee Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifeli peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima...
Mazoea hujenga tabia. Huu utaratibu wa number ndo unashhusha quality ya elimu. Haiwi problem solving based. Yaani ni banking model inatumika. Pump watoto hadi kieleweke. Ndo maana mtoto wa form One anjifunza mambo ya form 3.
Sasa huyo atapata muda wa kujadili mada viz a viz inavyoweza...
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi.
Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako.
Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao.
Habari za humu ndani?
Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni:
physics-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-C
B/MATH-F
ENG.-D
WanaJF
Kwanza nianze kwa kusema ya kuwa, nimefanikiwa kufika kwenye shule mbalimbali nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge.
Shule hizo, nyingi nilizifikia mwaka wa masomo wa 2020 na 2021.
Kiufupi, nilifikia shule kwa orodha ifuatayo.
Wilaya ya Geita
1. Halmashauri ya wilaya ya Geita...
Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana,
mfumo
unakutengenezea matokeo
unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho
unakuonyesha division summary kwa male na female
unakuwezesha kuandaa ratiba ndani ya dakika 2, ratiba ya shule nzima pamoja na za madarasa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.