Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,870
Reaction score
15,068
pic-bajaji.jpg

bajaji-pic.jpg

Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma.

Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa.

Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na kwenda Iwambi hadi Mbalizi, magari hasa makubwa yaelekeayo Zambia na Congo yanapita kwa shida sana.

Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulivalia njuga kero ya bajaji na kurejesha ustaarabu jijini Mbeya.
Kero ikidhibitiwa Mbeya, tutaiomba serikali aletwe hapa Darisalama napo ili padhibitiwe.
 
Hilo jsmbo huwezi zuia. Vijana hawaba chakupoteza kama serikali imeshindwa kuwatengenezea mazingira.

mmekaa huko ofsini mnaanza kuwaona vijana kama washenzi fulan hivi!

Na huo ni mwanzo vijana wameanza kuamuka hiyo nation cake itaanzaa kuwa chungu hasa kupitia hili bomu la bodaboda na bajaji litakuja kuleta mabadiliko mengi
 
Ustaarabu unaanzia kichwani.
 
Kinachofanya bodaboda na bajaji asisimame kwenye taa ni ni mazingira pia?
 
Viongozi wasio wasafi usitegemee wananchi watakuwa wasafi pia.

Viongozi tulionao ni matokeo ya wananchi walivyo. Utapata jibu kama Taifa linavyoongozwa hakuna mipango thabiti, uwajibikaji hakuna, usimamizi hakuna, sera hakuna,
Leo wanakuja nahili kesho lile unategemea nini kitatokea mkuu?
 
Mkuu huna hoja.....bajaj Mbeya ni kero.
Tusishabikie siasa wakati kuna juhudi dhahiri za kuondoa kero hiyo.
 
Viongozi wasio wasafi usitegemee wananchi watakuwa wasafi pia.

Viongozi tulionao ni matokeo ya wananchi walivyo. Utapata jibu kama Taifa linavyoongozwa hakuna mipango thabiti, uwajibikaji hakuna, usimamizi hakuna, sera hakuna,
Leo wanakuja nahili kesho lile unategemea nini kitatokea mkuu?
Viongozi ni reflection ya wananchi nakubali,

Ila hili la kupanga watu, vyombo tuwaunge mkono, muda ni sasa
 
Hilo jsmbo huwezi zuia. Vijana hawaba chakupoteza kama serikali imeshindwa kuwatengenezea mazingira.

mmekaa huko ofsini mnaanza kuwaona vijana kama washenzi fulan hivi!

Na huo ni mwanzo vijana wameanza kuamuka hiyo nation cake itaanzaa kuwa chungu hasa kupitia hili bomu la bodaboda na bajaji litakuja kuleta mabadiliko mengi
Kuna kiongozi aliwahi kusema bodaboda sio ajira wakamjia juu leo hawa vijana wanaacha bajaji watafanya shughuli gani?
 
Back
Top Bottom