Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

View attachment 3695663
View attachment 3695664

Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma.

Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa.

Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na kwenda Iwambi hadi Mbalizi, magari hasa makubwa yaelekeayo Zambia na Congo yanapita kwa shida sana.

Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulivalia njuga kero ya bajaji na kurejesha ustaarabu jijini Mbeya.
Kero ikidhibitiwa Mbeya, tutaiomba serikali aletwe hapa Darisalama napo ili padhibitiwe.
Siyo Mbeya tu miji yote nchini hata Dsm ambako Chalamila anazitetea ni kero kwenye highway
 
Izo bajaji zililetwa siku moja zikajaa Hapo Mbeya? Hamna maduka ambayo yapo hapo bado yanaendea kuuza bajaji? Na spare parts
Kosa la nyuma halihalalishi uozo unaoonekana sasa huko Mbeya na miji mikuu mimgi nchini.
Naunga mkono, huyo Mkuu wa Mkoa Mbeya akumalizana na bajaji huko aletwe Dar, Chalamila ana zingua.
 
Chalamila kashindwa, Kariakoo alisema kuanzia tarehe 24 mwezi huu, machinga waondoke, ila jana kwa siasa za kila siku, eti wameambiwa wabaki kwanza
 
Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na kwenda Iwambi hadi Mbalizi, magari hasa makubwa yaelekeayo Zambia na Congo yanapita kwa shida sana.
Kama hii ndo sababu bado hoja yako haitoshi kuzuia vijana kuweka chakula mezani.

Tuna viongozi wasio na maono kabisa. Milima ya ipo, kokoto zipo,nguvu kazi ipo. Lakini serikali inajenga vichochoro badala ya barabara. Hawafanyi tathmini kuona miji inakua.

Serikali ijenge barabara kubwa za kueleweka. Nini kinakwamisha hili jambo haswa ?. Kama wanataka kudhibiti bajaji basi waanze ku limit uagizaji wake kutoka nje.

hao vijana unatarajia wakafanye shughuli gani mkuu? . Waendeshe vipi maisha yao. Huwezi ukaniambia niende shamba kulima alafu wewe umekaa ofisini kuna AC, unatembelea LC na dereva juu, una bima ya afya, unaweza kuchukua mkopo ata 50M.
 
Huwezi kutufanya kero unayoisababisha kuwa kipato chako.
Huo si ustaarabu wa kuishi mijini.
Mwisho utaweka genge kati kati ya barabara ili ulishe familia yako.
Hilo halikubaliki.
 
Kama hii ndo sababu bado hoja yako haitoshi kuzuia vijana kuweka chakula mezani.

Tuna viongozi wasio na maono kabisa. Milima ya ipo, kokoto zipo,nguvu kazi ipo. Lakini serikali inajenga vichochoro badala ya barabara. Hawafanyi tathmini kuona miji inakua.

Serikali ijenge barabara kubwa za kueleweka. Nini kinakwamisha hili jambo haswa ?. Kama wanataka kudhibiti bajaji basi waanze ku limit uagizaji wake kutoka nje.

hao vijana unatarajia wakafanye shughuli gani mkuu? . Waendeshe vipi maisha yao. Huwezi ukaniambia niende shamba kulima alafu wewe umekaa ofisini kuna AC, unatembelea LC na dereva juu, una bima ya afya, unaweza kuchukua mkopo ata 50M.
Shamba kulima sio adhabu kaka. Haiwezekani wote wakakaa ofisini au kutumia LC; ni mgawanyo tu majukumu. Kesho wa bajaji atatumia LC na wa LC leo, kesho atafanya kazi nyingine. Muhimu sheria zizingatiwe.
 
Huwezi kutufanya kero ubayoisababisha kuwa kipato chako.
Huo si ustaarabu wa kuishi mijini.
Mwisho utaweka genge kati kati ya barabarabilibulishe familiavyajo.
Haikubaliki.
Nime quote hii replay maana ndo nilichokua nawaza naona jamaa ame elezea kwa ufupi.
Mchawi miundombinu tu serikali isitafute kichaka cha kujifichia
Serikali iwajibike kabla ya kukimbilia kutesa vijana. Nini kinakwamisha kujenga barabara kubwa. Ufisadi na rushwa, ubinafsi na ulafi pesa za miradi hazifiki kwenye miradi. Zikifika basi sio kama zilivyopangwa.
 
Masikini ukiwaendekeza watakunya mpaka mlangoni kwako
Sio kazi ta serikali kutafuta suluhisho,
kazi ya serikali ni kuweka miongozo, na mmoja wapo ndio huo, hakuna bajaji mjini
suluhisho watafute wenyewe waendesha bajaji
Naweza kubaliana na hilo.
Haiwezekani kila mtu anafaya kile atakacho mjini.
Zamani kulikuwepo na kodi ya kichwa, mijini watu walikuwa wanakimbia.
 
Nime quote hii replay maana ndo nilichokua nawaza naona jamaa ame elezea kwa ufupi.

Serikali iwajibike kabla ya kukimbilia kutesa vijana. Nini kinakwamisha kujenga barabara kubwa. Ufisadi na rushwa, ubinafsi na ulafi pesa za miradi hazifiki kwenye miradi. Zikifika basi sio kama zilivyopangwa.
Kuwajibika kwa serikali ni kuwaondoa wazururaji ,wavutabangi wanaojificha nyuma ya mgongo wa bajaji.
Hakuna mji wa kistaarabu unaoendeshwa na kuruhusu wahuni watawale barabara.
 
Shamba kulima sio adhabu kaka. Haiwezekani wote wakakaa ofisini au kutumia LC; ni mgawanyo tu majukumu. Kesho wa bajaji atatumia LC na wa LC leo, kesho atafanya kazi nyingine. Muhimu sheria zizingatiwe.
Kabla ya sheria, everyone should be responsible.

Tumeona utitiri wa bajaji na bodaboda, Je tunazalisha wenyewe hapa ndani ? Kama mamlaka inataka kudhibiti hili basi wazuie uingizaji wake/walimit ili zisizagae. Zinaingizwa nyingi kupita kiasi na zinatolewa kwa mkopo.

Halafu zimeshafika barabarani ndo wanajitokeza ku eliminate. Hawapo serious.
 
View attachment 3695663
View attachment 3695664

Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma.

Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa.

Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na kwenda Iwambi hadi Mbalizi, magari hasa makubwa yaelekeayo Zambia na Congo yanapita kwa shida sana.

Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulivalia njuga kero ya bajaji na kurejesha ustaarabu jijini Mbeya.
Kero ikidhibitiwa Mbeya, tutaiomba serikali aletwe hapa Darisalama napo ili padhibitiwe.
Naunga mkono hoja.
Jiji la Mbeya halina viwango vya kuitwa Jiji.
Hatua zozote za kurudisha na kuweka vigezo vya kuliendesha jiji kama jiji , ni hatua chanya.
 
Kuwajibika kwavserikali ninkuwaondoa wazurursji ,wavutabangi wanaojificha nyuma ya mgongo wa bajsji.
Hakuna mji wa kistaarabu unaoendeshwa na kuruhusu wahuni watawale barabara.
Huwezi kuondoa bajaji ukaacha mafisadi ofisini sio sawa mkuu.

Kabla ya mji wa kistaarabu tunahitaji serikali ya kistaarabu. Viongozi walio staarabika na wenye aibu na hofu mbele ya fedha za umma.

Naona hadi nimetoka nje ya mada lakini point yangu hasa ni serikali imekua ya kinafki. Hao wanaoimba amani halafu ni watekaji. Hao wanaofukuza bajaji alafu TRA anafurahia kodi za mizigo bandarini.
 
Kabla ya sheria, everyone should be responsible.

Tumeona utitiri wa bajaji na bodaboda, Je tunazalisha wenyewe hapa ndani ? Kama mamlaka inataka kudhibiti hili basi wazuie uingizaji wake/walimit ili zisizagae. Zinaingizwa nyingi kupita kiasi na zinatolewa kwa mkopo.

Halafu zimeshafika barabarani ndo wanajitokeza ku eliminate. Hawapo serious.
Wameelekezwa njia mbadala za kufanyia shughuli zao.
 
Back
Top Bottom